Nimeguswa Kwa sababu katika safari yangu ya maisha nilikutana na msamaria akaninyanyua na kubadili historia ya maisha yangu kwa kiwango cha kuweza kumtukuza Mungu.
Naitambua thamani ya msaada Kwa mhitaji.
Ninaroho ya huruma sana buji hususani ninapoona mtu anapitia changamoto za maisha.
Nikiona naweza kumsaidia mtu basi ninafanya hivyo sio Kwa sababu yangu,,hapana ni Kwa sababu ya kusema Asante Kwa Mungu Kwa mema aliyonitendea,kumpa nafasi mhanga ya kuweza kuuona ukuu wa Mungu ndani ya mtu..lakini pia kumkopesha Mungu Kwa ajili ya watoto wangu.
Ninaimani kunakipindi katika hali ya kibinadamu nitashindwa kuombea vizazi vyangu..basi kila sadaka niliyomtolea Mungu Kwa kumgusa moja kwa moja hapo ndipo itakapoweza kuinuka.
Kwa ufupi sana Buji na ninaimani umenielewa.si ndio.