Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.

Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee

Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
HV kumbee kweli watu Wana tabia hzo mm nilidhani utani tu kwa mleta mada

Ungembinua vzr kwanza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama anawaomba hawakabi na wanatoa wenyewe, mwache aendelee kutunyoosha tu..alafu umesema kipochi hatoi? Huyo smart sana. Hiyo ni ajira kama ajira ingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ndo ningekua mie, wallah ningetajwwaa hapa wazi wazi.

Ila napenda kupiga mizinga, tatizo cna nyotaa ya kupewaaa.
Em nisaidiee mwayaa kusafishaaa nyotaaa. Afu wee ulipoteleaa wapi?
Weye tena!!!😂😂😂 we itakua unapiga vya nauli ya Dubai😂 omba buku buku kwa wana jf 50 hukosi elfu 30😂😂😂

Mie npo mwaya sema majukumu yalinizidia... Ila npo sanaaa nachungulia majukwaa Mara kadhaa Ila Ku comment ndio mpaka niwe nimepata vile vitu vyangu😂😂😂
 
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Wee ni mwanamke halisi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wadada left the chat🤣🤣🤣
Na nyie wababa msiombe mbususu🤣

Ila kuna wenzetu aisee ni kama viwete mtu anaomba elfu tatu. Jamani af tatu kweli? Nlivojitolea kuwatetea ila hapana kwa hili namimi nakaa pembeni. Mdada anacheza michezo na hana kazi. Ikifika siku ya rejesho keshategesha vizinga kama tisa hivi kote anaomba af mbili mbili aibu naonaga mimi
supa womani💪💪💪🤣🤣🤣🤣hujawahi kumpiga mtu kizinga pm kweli wewe?🤣🤣🤣
 
Weye tena!!![emoji23][emoji23][emoji23] we itakua unapiga vya nauli ya Dubai[emoji23] omba buku buku kwa wana jf 50 hukosi elfu 30[emoji23][emoji23][emoji23]

Mie npo mwaya sema majukumu yalinizidia... Ila npo sanaaa nachungulia majukwaa Mara kadhaa Ila Ku comment ndio mpaka niwe nimepata vile vitu vyangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Vile vitu vyako mbna niliweka viwili, kachunguliee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie huwa nataka vocha vocha ila sipatiii.
 
Vile vitu vyako mbna niliweka viwili, kachunguliee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie huwa nataka vocha vocha ila sipatiii.
We mwana we!!! Hebu nenda kanitag!!!

Wala usiteseke.. Njoo pm uniombe vocha!
 
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.

Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jamani
Sasa hivi ndio nimeiona huu ujumbe.

Aise kumbe mambo ni mengi huko piemuni ee
 
We mwana we!!! Hebu nenda kanitag!!!

Wala usiteseke.. Njoo pm uniombe vocha!
Sasa kaniwekee kulee si ushajua natakaa vochaa mwayaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom