Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Yaani, umenena haswa.
Wanawake wamezidi.
Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha.
Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.
Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu.
Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.
Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba.
Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine.
Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu)
Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba
Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)

Mwingine ndo kaniudhi,kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"

Wanawake sijui watajikomboa lini!
Hivi hawa wa aina hii mnawapata wapi masela🤔🤔. Mbona sijawah kuwa na mshipa wa kuomba hovyo pamoja na shida lukuki nilizo nazo. Na kama ikitokea naomba ni kwa anayenihusu..kama baby ama mzazi ama ndugu, lakin wewe mshkaji afu nikupige kizinga...sijui kwakweli.

Anyways kila mtu ana sabbu ya anachokifanya...pambaneni
 
Kuna miamba Ina matukio si mchezo😅...wakiingia jf wao ni kuwinda 24hrs
sema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali🤣🤣ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.

🤣🤣Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii🤣🤣🤣halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza🤣🤣🤣ila kusema ukweli niwabovu 🤣ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...
 
Hakuna jambo la hatari mno kama kukuta watoto wa kiume wanapiga soga za umbea-umbea na watoto wa kike, hasahasa kuhusu maisha yao binafsi ya mahusiano. Ubaya zaidi wanamtuma mtoto wa kike kuja kuwasemea. Noma sana yani....

Halafu ninyi matajiri wa Jamii-Forums huwa mnashida sana. Hapa jukwaani huwa hamuachi majigambo. Mara kuishi Marekani, Ulaya, mko ofisi kubwa ,mna elimu nzito, na mifuko yenu imetuna mapesa.

Sasa mabinti wakianza kuwafuata huko PM kuwatandika vizinga au mkashindwa kumalizana vizuri huko nje, huwa mnarudi hapa jukwaani kuchafuana na kuanikana. Kwanini mambo yenu ya faragha msiyamalizie huko huko nje au PM. Yaani kila kitu chako binafsi lazima uje ukianike humu ???

NB: Kama huu uzi una ukweli, basi watoto wa kiume wamefika pabaya mno. It smacks a bad taste...
 
sema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali🤣🤣ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.🤣🤣Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii🤣🤣🤣halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza🤣🤣🤣ila kusema ukweli niwabovu 🤣ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...
Huu ugomvi huu..unatafuta kesi hapa mkuu. Yangu popcorn na novida...🤣
 
sema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali🤣🤣ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.🤣🤣Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii🤣🤣🤣halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza🤣🤣🤣ila kusema ukweli niwabovu 🤣ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...
Naomba umuite cocastic aongezee nyama nyama point yako😅😅
 
Humu mpaka wanaume matapeliii aiseee yani sio wadadaa tuu....

Yaani wana ID special Za matukio

Wanaona vile mtu una post post Habari za biashara humu huyu mdada atakua na hela[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani Kaka tapeli mi nahongwa tu na kusimamia biashara Za watu sina chochote
 
sema mtandao huu una vinyau vingi acha viliwe.sasa kimtu unakihonga elf 50 kinakubali[emoji1787][emoji1787]ngoja viliwe.ila pointi yangu nikwambaa ukiona unakula demu humu usijisifie Mana nitakataka sura zenyewe mbovu.[emoji1787][emoji1787]Kuna uzi wanarushiana picha zao niliuona juzi aisee mademu wanao rusha picha zao niwabovu hatariii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu unakuta wenyewe wanna sifiana like...waooooo mswetiiii umependeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila kusema ukweli niwabovu [emoji1787]ila wenye ugumu wanaishi nao nakuhonga wanna honga...

Kwani wadada wa jf wana dunia yao?

Au ni hawa hawa wa Hii dunia ya kawaida
 
Mwanamke anatakiwa kuudumiwa hao wanaolalamika nazan hawajui wajibu wao

Wakitaka vyabure mazan waoe wake zao ndo wawape vya bure au watafte malaya wa kununua bas

Utaki kuonga nunua malaya inatosha
Utahudumia wanawake wangapi ndugu?
 
Back
Top Bottom