Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Hivi hawa wa aina hii mnawapata wapi masela🤔🤔. Mbona sijawah kuwa na mshipa wa kuomba hovyo pamoja na shida lukuki nilizo nazo. Na kama ikitokea naomba ni kwa anayenihusu..kama baby ama mzazi ama ndugu, lakin wewe mshkaji afu nikupige kizinga...sijui kwakweli.Yaani, umenena haswa.
Wanawake wamezidi.
Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha.
Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.
Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu.
Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.
Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba.
Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine.
Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu)
Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba
Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)
Mwingine ndo kaniudhi,kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"
Wanawake sijui watajikomboa lini!
Anyways kila mtu ana sabbu ya anachokifanya...pambaneni