Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazuri na wabovu wapo acha fixHahaha wewe una shida aisee .
hakuna mtu mbaya huku duniani wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu
wazuri na wabovu wapo acha fixHahaha wewe una shida aisee .
hakuna mtu mbaya huku duniani wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu
wewe demu wako mzuriwazuri na wabovu wapo acha fix
Kuna mdada nilikuwa namheshimu sana mpaka nikaanzisha mahusiano baada ya kumuona kama anajielewa...Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.
Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.
Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.
Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.
Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.
Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.
Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.
2023 tubadilikeni jamani
dah kwani wewe mbaya?wewe demu wako mzuri
usikute kama sie hapa
Nakukaribisha sana kwa uzi wetu .. uache makasiriko 😅😅wazuri na wabovu wapo acha fix
Mie sura ya baba Mkuudah kwani wewe mbaya?
Unapuyanga😜😜Nitakujulia hali vipi lakini,si uniruhusu tu japo dk 2 au tutaombana pesa za ujenzi huko...😅
Na mwenyezi Mungu atakubariki.
Upendo huvumilia yote, upendo hauhesabu mabayaKuna muda unakutana na mdada mnajenga urafiki kabisa nakuwa naona huyu kwenye kazi zangu atanifaa ngoja niweke mambo Sawa kisha nitakaa nae mezani tuyajenge daaahh kabla hata ya kufka point kuomba pesa kusiko na mpangilio kutaanza daaah kifupi Mnakatisha tamaa wadada na mnatuogopesha sana sisi wazee wa mishe.
nitakufata kule unitumie kapicha nisaminishe🤣🤣wala Sina makasiriko niko coolNakukaribisha sana kwa uzi wetu .. uache makasiriko 😅😅
dah wee mzuri bhana.naomba kapicha basiMie sura ya baba Mkuu
uzuri nautolea wapi
Ushatuponda wehnitakufata kule unitumie kapicha nisaminishe🤣🤣wala Sina makasiriko niko cool
Hapana kungwi..mafunzo nayazingatia sana siwezi kupuyanga😂Unapuyanga😜😜
Umenionea wapidah wee mzuri bhana.naomba kapicha basi
😂😂😂😂😂Nakutumia nauli uje Mwanza binti angu, nafikiri tunatakiwa kuhama Dodoma.
Bado tu unahangaika?😂nitakufata kule unitumie kapicha nisaminishe🤣🤣wala Sina makasiriko niko cool
🤣🤣🤣 dah kweli nimeji kaanga mwenyeweUshatuponda weh
siwezi hata jisumbua