joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sasa si vilevile tu kama wanavyo fanya malaya wewe mwenyewe umeona kuna tofauti.Unamtongoza mtt wa watu anakuomba pesa ww unaona ni kujizalilisha sasa ulitaka akamuombe nan
Wanaume mda wa kukaa na kulalamika ushapitwa na wakat huwezi kuonga au huwez kutoa pesa nazan itapendeza ukitafta malaya mkafanya yenu zen mkaachana
Ukitaka mtoto mzuri na utakae mcontrol lazma uhudumie na lazma uhonge