Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Unamtongoza mtt wa watu anakuomba pesa ww unaona ni kujizalilisha sasa ulitaka akamuombe nan

Wanaume mda wa kukaa na kulalamika ushapitwa na wakat huwezi kuonga au huwez kutoa pesa nazan itapendeza ukitafta malaya mkafanya yenu zen mkaachana

Ukitaka mtoto mzuri na utakae mcontrol lazma uhudumie na lazma uhonge
Sasa si vilevile tu kama wanavyo fanya malaya wewe mwenyewe umeona kuna tofauti.
 
Hahaha...
Unajua kitakachotokea sindiyo...??

Halafu upite na kule kwenye screen kama app tafadhali,😂

Sitaki kusema sana😂

Eeeh halafu sijui kwanini leo nimepasahau vile, kumbe kuna mambo? Ngoja nikachungulie.
 
Weeeehh usiseme hivo Hujui makandokando Yangu ya vizinga ujue 🤣🤣🤣!! Kuanzia chupi hadi vocha 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Nikikupa list hapaaaa🤣!
kwani wewe upo dom?🤣🤣🤣
 
Ukilusha nitag chap🤩🤩
Nikipiga kwenye godown Langu ntakutag Usijareeeeee✌️ wengine kuchwambwa tushachambwa sana humuu na kutukanwa mitusiiii juuuu !!
sophy27 dear mie pia mwaka uliisha vizuri my Wangu tukitoka kuchambwa hapaa badae unistue nikubles
 
sema fanya mpango inipige kizinga🤣
 
sema fanya mpango inipige kizinga🤣
Vizingaa hapana nimekoma mimiii!! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Sio kwa 📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌 hizi 😁!
 
Nikipiga kwenye godown Langu ntakutag Usijareeeeee✌️ wengine kuchwambwa tushachambwa sana humuu na kutukanwa mitusiiii juuuu !!
sophy27 dear mie pia mwaka uliisha vizuri my Wangu tukitoka kuchambwa hapaa badae unistue nikubles
Usijali ndugu tujue tu adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie aisee nitakuita unibless japo tumeambiwa sura kama vibompori😂😂😂😂kichambo kiendelee
 
Back
Top Bottom