Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri. Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!

Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Mwanamke asie omba hela huyo kwa asilimia kubwa sio pisi kali.
 
Ondoa shaka ndugu
Tatizo lako limeisha kabisa.
Nilikuambia......!!!😅
Jiandae kwa ugeni upya huo na hakikisha unamkarimu vizuri.

Hapo bado sijashusha CV yako,nikiweka itakuaje
Kungwi unapuyanga sana
 
Back
Top Bottom