Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


KWAHIYO WEWE KAZI YAKO NI KUCHUNGULIA CHUPI ZA WAKINA MAMA?🙁😵

BOXER YAKO MARA YA MWISHO KUIFUA LINI?
 
MI NAKOSA CHA KUCHANGIA KWASABAB BADO SIJAPATA KUWAONA WENYE TABIA KAMA HIYO,BUT KAMA WADADA MNAYO TABIA HII JUST LOOK YOURSELF
 
Habari,

Binafsi ni muuminini wa usafi na muonekano bomba iwe nje na hasa ndani.

Kuna katabia ka mabinti kuvaa michupi mibaya huku inaonekana kama madekio. Utakuta mdada mrembo haswaa, ila akikuruhusu kuona chupi yake, daaah! Mpaka mtu unatamani kutoka nduki.

Wakati mwingine unashindwa kutofautisha, hii ni chupi au kaboka?

Kuna bonge mmoja pale mashati, japo alinukia marashi, alikuwa kavaa chupi nyeupe ila ilinichukua muda kugundua maana kitu ilikuwa na maramani kibao kama mkusanyiko wa visiwa vya Mauritius.

Haya, mwingine nilikutana nae pale Clifton hotel, was real super in appearance ila kwa ndani alivaa tight mbili, moja rangi ya ugoro na nyingine sijui pinki au red!! Duh!

Uvaaji huvutia wandugu for both sexes. Usafi ni tunda la tabia. Jitahidi ukivaa vizuri nje, na ndani uvae nguo zenye mvuto. Nguo murua hustawisha mahusiano/ndoa.

Kumbuka: Aliyevuna shamba leo, atalirudia msimu ujao ikiwa lilimpa mavuno mazuri.
Wakaka vaeni boxer zilizo safi !! Tungekua na sie tunazivuta juu ya nguo za nje ungesema!!!! Tatizo huwa unashtukia mchezo!! Alikua amevaa ya kuendea shamba!
 
Sa mwanamke umekutana nae njiapanda na umemtongoza kaerewa
At Sikh na mda uouo unaenda kumjaza Ka tigo at kapata WAP mda Wa kukuandalia penzi mbashala???
Acha kuokota
 
Nkiludi pia mapenzi nikuerekezana kama unampenda mwereze at atabadilika na kua smart g
 
fe3c81ffc4a3b38cfcf17c3691633510.jpg
3b93c295f3b16a8727d7e11152e5d7f5.jpg
8e909aa58aca97bf383770e9d30491ea.jpg
 
Back
Top Bottom