Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada akiwa na miguu saafi imesuguliwa, na haijapauka huwa ananikosha mnoo😂😂😂😂Umeona eeh
Kumbe mtaalamu upo humuhumu?Ila acheni kuchungulia vyupi vya wadadaKwl kabsa nmeshakutananao kama wawili wako hvo visigino vichaf vingumu kama mbao yaan unaweza kunia nazi kabsa 😅
All in all karbun saluni kwangu niwasugue miguu mpendeze miguu iwe milaini nipo zangu Hapa Boko Basihaya nawasubr
Mambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi, unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa.
Jamani hebu tusugueni hivyo visigino, yaani mtu kisigino hakieleweki, cheusi utasema alikuwa anasigina masizi[emoji849]. Huyu mchina asitudanganye na slipper zake, na vile sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam, hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo. Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.
Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi! Tubadilike.
Kweli,,Yale mawe ya kina mama mpaka Leo yanauzwa sokoni buku tu,wanayatoa mto gani sijui huko...yaani Kama hamna pesa ya pedicures tuwe na majiwe ndaniWadada jitahidini zamani wenzenu wamama walikuwa na jiwe la kusugulia visigino siku hizi wanaotoa huduma za pedicure wamejaa tele. Mwanamke akiwa na miguu misafi isiyo na gaga wala sugu anavutia sana
Najua mnadhani natania lakini ndio ukweli. Nimeacha mademu wengi kwa sababu ya kwapaFala wewe[emoji1787]
Buku inawashinda nyie wadada kweli😲😲😲Kweli,,Yale mawe ya kina mama mpaka Leo yanauzwa sokoni buku tu,wanayatoa mto gani sijui huko...yaani Kama hamna pesa ya pedicures tuwe na majiwe ndani
Heka heka gani tena hizoUtapumzika na hizo heka heka...
Nishamwambia Joannah utadundwa shauri yakoMwambie patachimbika hapa
Sisi tulifundishwa kunawa miguu nje kwa kuisugua sawasawa na kuosha ndala zetu za umoja enzi hizo kama sio bata ndo uende kuoga, naona itaratibu huu ni mzuri huezi kuta miguu iko hovyo,Mambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi, unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa.
Jamani hebu tusugueni hivyo visigino, yaani mtu kisigino hakieleweki, cheusi utasema alikuwa anasigina masizi🙄. Huyu mchina asitudanganye na slipper zake, na vile sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam, hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo. Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.
Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi! Tubadilike.