Wadada wa Dar na Visigino vyao

Wadada wa Dar na Visigino vyao

Kwl kabsa nmeshakutananao kama wawili wako hvo visigino vichaf vingumu kama mbao yaan unaweza kunia nazi kabsa 😅
All in all karbun saluni kwangu niwasugue miguu mpendeze miguu iwe milaini nipo zangu Hapa Boko Basihaya nawasubr
Kumbe mtaalamu upo humuhumu?Ila acheni kuchungulia vyupi vya wadada
 
Mambo zenu jamani.

Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi, unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa.

Jamani hebu tusugueni hivyo visigino, yaani mtu kisigino hakieleweki, cheusi utasema alikuwa anasigina masizi[emoji849]. Huyu mchina asitudanganye na slipper zake, na vile sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam, hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo. Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.

Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi! Tubadilike.

Ukutane na mwanamke wa uswahilini kajichubua,duuh miguu imekaa kama jini viunga vya vidole vyeusiiii tiii. Kusema kweli wana kata stimu sana.
 
Wadada jitahidini zamani wenzenu wamama walikuwa na jiwe la kusugulia visigino siku hizi wanaotoa huduma za pedicure wamejaa tele. Mwanamke akiwa na miguu misafi isiyo na gaga wala sugu anavutia sana
Kweli,,Yale mawe ya kina mama mpaka Leo yanauzwa sokoni buku tu,wanayatoa mto gani sijui huko...yaani Kama hamna pesa ya pedicures tuwe na majiwe ndani
 
Kweli,,Yale mawe ya kina mama mpaka Leo yanauzwa sokoni buku tu,wanayatoa mto gani sijui huko...yaani Kama hamna pesa ya pedicures tuwe na majiwe ndani
Buku inawashinda nyie wadada kweli😲😲😲
 
Si
Mambo zenu jamani.

Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi, unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa.

Jamani hebu tusugueni hivyo visigino, yaani mtu kisigino hakieleweki, cheusi utasema alikuwa anasigina masizi🙄. Huyu mchina asitudanganye na slipper zake, na vile sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam, hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo. Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.

Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi! Tubadilike.
Sisi tulifundishwa kunawa miguu nje kwa kuisugua sawasawa na kuosha ndala zetu za umoja enzi hizo kama sio bata ndo uende kuoga, naona itaratibu huu ni mzuri huezi kuta miguu iko hovyo,
 
Back
Top Bottom