Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watani👊 ya 👃 nitavuja🩸Wape vidonge vyao🤣
Dada anguHili liwekewe msisitizo kwa wadada wanaojichubua, hawa raia huwa wana miguu inatisha sana kwenye visigino na ankle zao. Unamuangalia mpaka unapata kinyaa.
Wengine wanaenda mbali zaidi wanakuwa na magaga ( visigino vimepasuka), size ambayo hata shillingi inajificha.
Unawaza kama usafi katika sehemu inayoonekana na watu mara kwa mara umeshindikana, vipi huko ndani ambako hapaonekani?
Kero nyinyine ni mawigi, aiseeeeh mengi huwa yananuka vibaya sana. Wale wanaojua kutunza nywele zao zinakuaa na kaungevu fulani na zinanukia, mbarikiwe huko.
Mleta mada asante anaa, naamini watabadilika.
Mdogo wangu tajiri...
Yan huyo dada etu yuko 👌👌Sitaki nionekane namsifia sana dada'ko Carleen , ila katika hayo niliyotaja hapo juu namkubali sana.
Wewe pia nakukubali hivyohivyo, as long as umesema unanyoa😄.
Em pambana chap chap kwanza ndio dec tusije kosa hela za kwenda kulisha Twiga Same 😂😂❤️Mdogo wangu tajiri...
Nina viporo hapa napambana navyo kama vyoote, naja soon kukulipa madeni yako yooote wewe na my wako..!!🤩
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🤩🤩
tatizo nikipendwaga vizuri hivi huwa naishia tu kunona my sweet Pa'...!!
🤩🤩
tatizo nikipendwaga vizuri hivi huwa naishia tu kunona my sweet Pa'...!!
Em pambana chap chap kwanza ndio dec tusije kosa hela za kwenda kulisha Twig Same 😂😂❤️
😂😂😂👌🔥🏃♂️🏃♂️Kumbe hii ndio ilikuwa siri ya kambi? 😄
🤣🤣🤣 Pisikali my🦶!Basi nisameheni,Ni pisi kali
Nataka kuona hiooo 😛😛😛Unataka kuona nini..?
Unajua pa kuomba ruksa, ukipewa tu greenlight walaqhi nakuwekea hapa... 😂
Hauna hata ka picha kakusindikizia huu uzi mkuu?Mambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi, unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa.
Jamani hebu tusugueni hivyo visigino, yaani mtu kisigino hakieleweki, cheusi utasema alikuwa anasigina masizi[emoji849]. Huyu mchina asitudanganye na slipper zake, na vile sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam, hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo. Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.
Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi! Tubadilike.
Kwa kweli miguu ikisuguliwa kila unapoingia kuoga miguu itakuwa na Hali nzuri sanaSi
Sisi tulifundishwa kunawa miguu nje kwa kuisugua sawasawa na kuosha ndala zetu za umoja enzi hizo kama sio bata ndo uende kuoga, naona itaratibu huu ni mzuri huezi kuta miguu iko hovyo,