Unaweza kuwa na bidhaa nzuri Ila unakosea sehemu ya kuitangaza I think majukwaa Kama FB na IG utapata wateja just try it hapa wateja wa bidhaa yako ni hawapo unahangaika bureKwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela. Lakini jamiiforums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
ulaaniwe wa mawazo ya kishetaniKwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
Yaani wewe ni ME,unatongozwa, Sasa wanakuta upinde,Wana shida Gani? Umesema mwenyewe unatongozwa!Sisi ni akina Nani!Shindwa pepo
Mkuu wewe shujaa sana, umeamua kujitangaza live!Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
Indirect promotion, Upinde!haszu msafishwa mtaro
๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ila we jamaa bhana ๐ฎ
๐ ameshindikana
Mtoto sio ridhiki!๐ ameshindikana
Oya hawa warembo mnawapataje.Ila sio huyu wangu shibela mtoto mzuriiiii kucha swafiiiiii macho ata sema yeye
watata kama bro Evelyn SaltWadada wa humu wote makamanda ukitaka walamba lips nenda facebook huko