Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Mm nasemaje kama anataka tu mtu wa kumsafisha mtaro aje pm lakn hela Sina
Kwahiyo unataka tukusifie na kukutongoza?Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
Kwahiyo niwazuie watu kusema? Mi ndo najua nikoje, siwez force wengineWewe unatafuta wateja hakuna mwanaume rilaji atasema hazarani eti wananiita upinde! Kwanza ukifikia hapo bora ufe kuliko kulisema hilo neno ila wewe unafurahia na wanavokuhisi
Siwezi kutongoza punga mbovu kama wewe 🚮 🚮 🚮We hata ukinitongoza utakua umenidharau, huna hadh hiyo
Ni kuokota dodo tu na kujipilikisha 😂Oya hawa warembo mnawapataje.
Weka picha tusaminishe kwanzaKwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
😂😂 uyo ni mtafutaji ambae hajui kukitunza kitu chakeWeeee Baba Uswege wangu🥰🥰🥰🥰,sifa zetu anazitaka yeye huyu tumuiteje?
Una dalili za kupindwa ?Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
Ahudhurie agundue nn? Yeye yuko ktk vikundi vya vicoba na wajasiliamali kuinuana.
😂😂😂😂Wewe unatafuta wateja hakuna mwanaume rilaji atasema hazarani eti wananiita upinde! Kwanza ukifikia hapo bora ufe kuliko kulisema hilo neno ila wewe unafurahia na wanavokuhisi
😂😂😂😂😂Weka namba yako tangazo halijakamilika