Wadada wa JamiiForums ni tofauti na ninaokutana nao mitandao mingine ya kijamii

Wewe kiumbe, lazima utakuwa unatembea huku nati kichwani zimelegea.Mungu atusaidie usije kujieleza unatafuta "mchumba"!
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.

Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.

Maajabu haya haya
 
Dada zetu na mama zetu humu ndani siku hizi mnatoa malezi ya aina Gani kwa watoto wa kiume ? Tumekuwa na kizazi Cha ajabu sana,hawa ndo wanaume walamba midomo kama jux 😀
 
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.

Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.

Maajabu haya haya
😂Ambatanisha na picha em
 
We jamaa itakuchukus mda sana kukiri kuwa wewe ni bwabwa
 
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.

Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.

Maajabu haya haya
Weka hizo picha zako hapa tukuone kwanza!!!!
 
Back
Top Bottom