Wadada wa JamiiForums ni tofauti na ninaokutana nao mitandao mingine ya kijamii

Wadada wa JamiiForums ni tofauti na ninaokutana nao mitandao mingine ya kijamii

Huku hatucheki na kina mama Amina 😹
Ushawahi date romantic, gentle and clean guy? I bet you didn’t. I will bless you. You seem to pack that.
 
Unibless kidot 😹
Ngoja niagize dildooo, unapendelea la horse au lolote fureeesh tu? 🤣
Aah mtoto wa kike unamawazo ya ajabu sana, we ndo mana umepewa sura ya mjomba.
 
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.

Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.

Maajabu haya haya
Haszu unajua Ile taarab ya zamani wanaimba "achia ngazi bibii mchuma unaondoka huoo...achia ngazi bibii mchuma unaondokaa huoo....
 
Aah mtoto wa kike unamawazo ya ajabu sana, we ndo mana umepewa sura ya mjomba.
Unaanza kuruka ruka, hujajibu ipi itakufaa?
Uweke na size ili kurahisisha zoezi sawa beautiful boy? 😉
 
Back
Top Bottom