Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,372
Mkuu nakushauri usije kunywa pombe kabisa na ukija kunywa bas siku hiyo unaliwa mazima na wahuni ni huruma sana kama upo mzima unakua na akili hiyo siku ukilewa utasema wakushike kiuno wakupeleke nyumbani.