Wadada wa JamiiForums ni tofauti na ninaokutana nao mitandao mingine ya kijamii

Kwahiyo unataka tukusifie na kukutongoza?
Yani mwanaume unajisikia kupungukiwa kwa sababu hujatongozwa 🚮 🚮 🚮
 
Wewe unatafuta wateja hakuna mwanaume rilaji atasema hazarani eti wananiita upinde! Kwanza ukifikia hapo bora ufe kuliko kulisema hilo neno ila wewe unafurahia na wanavokuhisi
Kwahiyo niwazuie watu kusema? Mi ndo najua nikoje, siwez force wengine
 
Weka picha tusaminishe kwanza
 
Una dalili za kupindwa ?
 
Wewe unatafuta wateja hakuna mwanaume rilaji atasema hazarani eti wananiita upinde! Kwanza ukifikia hapo bora ufe kuliko kulisema hilo neno ila wewe unafurahia na wanavokuhisi
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…