Wadada wa JamiiForums ni tofauti na ninaokutana nao mitandao mingine ya kijamii

Mkuu nakushauri usije kunywa pombe kabisa na ukija kunywa bas siku hiyo unaliwa mazima na wahuni ni huruma sana kama upo mzima unakua na akili hiyo siku ukilewa utasema wakushike kiuno wakupeleke nyumbani.
 
Wewe unatafuta wateja hakuna mwanaume rilaji atasema hazarani eti wananiita upinde! Kwanza ukifikia hapo bora ufe kuliko kulisema hilo neno ila wewe unafurahia
Kunae tusi nimetukana anabahati kuna ban ila uyu alistahili tusi moja maridadi kabisa
Kondomu moja tu ingeweza kuzuwia huu ujinga.
Au kumwaga nje ingekua bora kabisa
 
Mdada akihisi wewe ni upinde basi 60% wewe ni upinde. Wadada wana urafiki mkubwa sana na wana upinde hivyo ni rahisi sana kwao kuwatambua.
 
Haszu unajua Ile taarab ya zamani wanaimba "achia ngazi bibii mchuma unaondoka huoo...achia ngazi bibii mchuma unaondokaa huoo....
Umenikbusha mbali sana, Nasma khamis👌👌👌👌… unekwerewaaa naondoka naee, umeishiwaaaaa….
Nilikua mdogo sana, anyway ulikua na maana gani?
 
Mdada akihisi wewe ni upinde basi 60% wewe ni upinde. Wadada wana urafiki mkubwa sana na wana upinde hivyo ni rahisi sana kwao kuwatambua.
hii hypothesis yako haina mashiko
 
Dogo wa Dar sikia, hapa si sehemu ya kutongozana ama kusifiana......unataka kusifiwa inabidi uende huko huko ukasifiwe na kupakatwa.
 
Huyu Jamaa mi SHOGA wanaume hatupo hivyo q*******ke
 
Umenikbusha mbali sana, Nasma khamis👌👌👌👌… unekwerewaaa naondoka naee, umeishiwaaaaa….
Nilikua mdogo sana, anyway ulikua na maana gani?
Nlikua nakukumbusha tu...nkajua mtoto wa juzi
Hiyo ilikua taarab yangu pendwa nkiwa mdogo
Kuna mahali ulisema unapenda sana taarab
 
We sio mzima. Huu uzi wa pili nauona unajisifia uzuri wako. Ea keanza ulisrma ulialikwa kwa sherehe ukapendeza mademu eanakutongoza unauma uma vidole.. WEWE UNATATIZO. ukiona mpaka madem wanakuona shoga wewe ni shoga kweli. na hilo sio jambo la kutangaza kua wanawake wanakuona shoga, hiyo ni alarm ili ujichunguze bwege wewe.. Au ndo unatoa taarifa kwa mgongo wa chupa kua wewe ni shoga?
 
Umenikbusha mbali sana, Nasma khamis👌👌👌👌… unekwerewaaa naondoka naee, umeishiwaaaaa….
Nilikua mdogo sana, anyway ulikua na maana gani?
Hapohapo ulipo geukia kulia shika Ukuta, legeza paja mkwaju waja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…