Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
πππ mpenda vita na pambanaAnavyotaka mi ndo napenda siwezi kumpotezea huyu kidampa wa bei cheeh πΉπΉπΉπΉ
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
πAmbatanisha na picha emKwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
Weka hizo picha zako hapa tukuone kwanza!!!!Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
Khakhakhaaa... ukorofi huo ujue!!