Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kuna nadharia moja niliwahi kuisikia kuwa ili ufanikiwe kwenye biashara inabidi ujue kitu ambacho watu wachache wanakijuaBiashara zina siri kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nadharia moja niliwahi kuisikia kuwa ili ufanikiwe kwenye biashara inabidi ujue kitu ambacho watu wachache wanakijuaBiashara zina siri kubwa
Umewaza katika angle ya mabaya sometimes watu hawana biashara moja tu kuna watu wamewekeza katika kilimo au real estate mikoani na wanapata pesa nyingi tu kwa kumtazama unaweza kufikiria kuwa anapata pesa kupitia kuuza poda ama K na duka ni kiini machoNawaza hivyo pia ama kuna watu wanawaweka mjini ,,,, ! Haiingii akilini frem mtu alipe 2.m au 1.5m tena mwaka akauze pochi 10, vichupi kadhaa na bra ! Haimlipi hata kidogo
Usiwe na tamaa lakini, au mropokaji, wakaguzi wakija unanipigia simu faster naongea nao...Wee kumbe !!🤠🤠😁😁 fanya unielekeze huko kutakatisha fedha nione 😊
Hahahahaha….hatari Mkuu…ungeacha mtaji hapo..Jmosi iliyopita nilikuwa ARUSHA na NDUGU Yangu ametoka nje...akaantoa nje shika 200"000 we tutumie br. Nkaweka 40 kushoto kwanza
wakaja madada wazuri wastaarabu akawapa ofa zikazungushwa fly. ...na savanna ...mmmh nilipoona awalewi nkastop kunywa pombe nkahisi awachrlewi kutupiga.
Moja akanifwata kiustaarabu nimependa upendo wenu naonba namba yako nkampa
asbh nkakutana na msg .mmefika salama...NDIO.... Can I tell u something mmmh nkazima kwa mda nkataman ntoe na betri
baadae straight akaandika kaka na biashara Yangu naonba msaada WA capital ........
nkamjibu sorry si tunapita TU Wala atuna uwezo WA kumpa mtu mtaji
kama kula kunywa MPAKA tuondoke ok
ajajibu MPAKA tumeondoka......
so imagine anakutana na famba anampa hela anakula mzigo mwezi mzima
Hawa sio mbona
Au labda ni majini , ninyi mnaona ni watu kumbe ni vibwengo flani wanahudumia ulimwengu usionekana kwa macho ya kawaidaKuna jengo kubwa sana jipya pale sinza mall mkono wa kulia kama unaelekea mwenge biashara za pale uwa sielewi watu wanapataje faida make niliwai kushinda pale week mfullizo huoni wateja wakija kuchukua bidhaaa ghorofa ya pili na ya tatu ila watu daily wapo
Tunahonga kidogo kidogo wanapanga wanaume wengi kwenye folen ili kipato kimudu expenditures ndo hapo kiungo kimoja cha mwili kinaenda kuchakaaMi nilidhani siku hizi wanaume mmeacha kuhonga pesa ndefu, kumbe bado wapo?
Ila simply ni malaya kama wale wa Kimboka, tofauti ni location tu.Hawachukui cha mtu bila ridhaa ! Umemaliza mkuu
Weee hujui? Zaidi ya biashara, Yeye ana tobo na tigo! Wewe una nini?Unakuta,
Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.
Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?
Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!
Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.
Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?
Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.
Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.
Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.
Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
Sidhani kama ni Madanga tu au madawa ya kulevya ,kuna kitu cha siri cha ziada kinafanyika kwenye hivyo vifremuMadanga zao ndio watanunua
Mmmh mpwaa acha TU na hili NDUGU langu linavyojua kuhonga nashukuru waliomba namba Yangu wangelipuputishaaHahahahaha….hatari Mkuu…ungeacha mtaji hapo..
Wabongo wangapi wa kununua pochi ya milioni wewe ?una hakika gani kama haimlipi mbona hujataja bei za hizo pochi ukute pochi moja 5m we endelea kuwaza kimaskini
Worry not love Ushanifunda nikafundika nasubiria mwongozo tu hapa nianze Kazi 😁Usiwe na tamaa lakini, au mropokaji, wakaguzi wakija unanipigia simu faster naongea nao...
😂😂
huwezi ni ww mkuu watu wanajipigia ma bilioni wataacha pochi za ma milioni Amka tz sio maskini kama unavyoaminishwaWabongo wangapi wa kununua pochi ya milioni wewe ?
Unaishi Tanzania au Dubai wewe ?
Anakaua na kabiashara cha kuzugia.Hizi type zimejaa sana kaka