Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Mkuu wanakuwa na hela ukichunguza utakuta anafanya kazi ila mshahara wake hataki utumike, kwaiyo anacho kifanya ni kujigeuza Matonya tu. Sijui pesa zao wana famyiaga nini utakuta miaka nenda miaka rudi hawafanya chochote cha maana zaidi ya kuvaa tu, wakipata pesa ata wazo la kuanzisha biashara hawana.tatizo hawataki kukaa kijijini wakalime;huna hela ya kodi unapanga nyumba ya kazi gani?
Wengine hawataki kutoa ila wanataka kupokea tuMimi napenda Demu aniombe pesa mkuu....Kama vipi nipe namba yake nimpatie pesa!! Hao ni urithi wa kwetu.....Demu ukiwa unampa hela na yeye lazima akupe yote!!
Shida huwa inaanzia hapo..Wengine hawataki kutoa ila wanataka kupokea tu
Acha kusiliza maneno ya watu. Wewe piga puli pumbu ziwe empty kabisa yaani zikauke. Fedha yako uitunze ufanyie mambo ya maana. Hapo unakuta unamaliza pesa yako uliyoitafuta kwa shida na taabu kisa na mkasa TAKO KUBWA 😂😂😂. We piga puli, mpaka ukauke kabisa. Halafu tunza pesa.Kaka unaakili mingi mno
[emoji23][emoji23][emoji23]ni huzuni kwkweliOmba-omba wa watu analia njaa alafu eti wewe unamjibu ‘wacha wee’ [emoji23]
Wanaishije pekee yao na umri wa kuolewa umeshafika. Tatizo wao wanahisi kuolewa ni kifungo na ni sumu ya maisha yao. Ila kuliwa hovyo wanaona ni ujanja. Wakifika miaka 35 and above wakishachuja wanaanza kulazimisha ndoa kwa nguvu.tatizo hawataki kukaa kijijini wakalime;huna hela ya kodi unapanga nyumba ya kazi gani?
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ,basi hao wengine watakuwa hawakati dau vizuri ,ukikata dau vizuri wala hauombi unapewa tu BUFEE na wewe ujisevie.Wengine hawataki kutoa ila wanataka kupokea tu
Daah mbona hata dada wa watu hana makuu? Afu mbili wakuu?Mpe buku 2 hiyo sasa
Hapo sasa mkuuMungu aliwapa kiungo kile ili kuzaa watoto basi. Haya ya kukifanya fursa yametoka wapi?
Sasa huyo sio mtu wangEhee kama ni mtu wako unamfanyia tu mbona kawaida ,shebby wa zamaradi kampa mkewe Range ya 50m. Ki_imani na Kisheria Mwanamke ameumbwa kutimiziwa mambo yake na m/me! Kisheria unaambiwa hata mwanamke akiwa na kipato kikubwa kuhudumia familia kwake ni option.
Mbona chatting zenu hazieleweki?Kiukweli hali ni mbaya dada zetu wanaomba pesa kupitiliza just imagine mtu ujamtongoza ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako txt zinaingia za kuombwa pesa tu.
Mwengine ujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo cm yake oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu nikwamba nilionyesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.
Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango,
Ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mme wake.
Hv mtu huyu nimfanyeje??
Hadi Maji kaomba hapo tena kuuziwa Yan hana makuu kabisaDaah mbona hata dada wa watu hana makuu? Afu mbili wakuu?