Wadada wamezidi kuomba pesa

Wadada wamezidi kuomba pesa

Hivi viumbe vimekuwa omba omba mnoo, yani text ya salam mbele kiboom! Too much imekuwa. Na wako na style mpya nowdays mtu anakutumia namba ya kutuma pesa aseee!
Kuna manzi kadhaa walinipiga viboom nikaona sio kesi nikawaambie watafute mtaji wa 5k niwape odds wabet[emoji16][emoji16] hakuna namna pesa kutoa bila nidhamu ni ujinga na uzembe.
 
tatizo hawataki kukaa kijijini wakalime;huna hela ya kodi unapanga nyumba ya kazi gani?
Mkuu wanakuwa na hela ukichunguza utakuta anafanya kazi ila mshahara wake hataki utumike, kwaiyo anacho kifanya ni kujigeuza Matonya tu. Sijui pesa zao wana famyiaga nini utakuta miaka nenda miaka rudi hawafanya chochote cha maana zaidi ya kuvaa tu, wakipata pesa ata wazo la kuanzisha biashara hawana.
 
Kaka unaakili mingi mno
Acha kusiliza maneno ya watu. Wewe piga puli pumbu ziwe empty kabisa yaani zikauke. Fedha yako uitunze ufanyie mambo ya maana. Hapo unakuta unamaliza pesa yako uliyoitafuta kwa shida na taabu kisa na mkasa TAKO KUBWA 😂😂😂. We piga puli, mpaka ukauke kabisa. Halafu tunza pesa.




Ohooooooo!Usidanganywe na watu wa mitandaoni. Humu jf kila mtu tajiri na anayo kazi mshahara milioni 30 kwa mwezi. Wachovu ni mimi na wewe tu. 😂😂😂
 
tatizo hawataki kukaa kijijini wakalime;huna hela ya kodi unapanga nyumba ya kazi gani?
Wanaishije pekee yao na umri wa kuolewa umeshafika. Tatizo wao wanahisi kuolewa ni kifungo na ni sumu ya maisha yao. Ila kuliwa hovyo wanaona ni ujanja. Wakifika miaka 35 and above wakishachuja wanaanza kulazimisha ndoa kwa nguvu.

Hiki kizazi cha wanawake sijui nuksi kiliambukizwa na nani maana huko mbeleni tutakuwa na wasimbe wengi kuliko wake za watu.
 
Utasikia wanaume mnatakiwa kutupa, mliambiwa mtakula kwa jasho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20221116_223346.jpg
Screenshot_20221116_223407.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20221116-222805.jpg
    Screenshot_20221116-222805.jpg
    80.5 KB · Views: 3
Ehee kama ni mtu wako unamfanyia tu mbona kawaida ,shebby wa zamaradi kampa mkewe Range ya 50m. Ki_imani na Kisheria Mwanamke ameumbwa kutimiziwa mambo yake na m/me! Kisheria unaambiwa hata mwanamke akiwa na kipato kikubwa kuhudumia familia kwake ni option.
Sasa huyo sio mtu wang
 
Kiukweli hali ni mbaya dada zetu wanaomba pesa kupitiliza just imagine mtu ujamtongoza ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako txt zinaingia za kuombwa pesa tu.

Mwengine ujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo cm yake oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu nikwamba nilionyesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.

Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango,
Ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mme wake.
Hv mtu huyu nimfanyeje??
Mbona chatting zenu hazieleweki?
 
Mpigieni kura binti huyu ili akikua asiwe mdada ombaomba

Tafadhali mpigie Kura Sharon Ringo! Huyu binti ni mdogo (miaka 13) lakini anafanya mambo makubwa, tena ni mfano bora sana kwa watoto wetu! Champion wa Climate change na East Africa Tourist ambassador. Kwa kweli tum support kwa kumpigia kura nyingi alete hii tuzo nyumbani! Unaweza kupiga kura mara nyingi kadri uwezavyo na pia mzalendo share hii taarifa na link!

Vote for SHARON RINGO*
 
Daah mbona hata dada wa watu hana makuu? Afu mbili wakuu?
Hadi Maji kaomba hapo tena kuuziwa Yan hana makuu kabisa

Mleta uzi sijui apewe Nini kingine,kapewq wa size ya buku 2 na ndoo ya Maji bado kamfungulia uzi hapa ,je akipewa wa laki 1 si atambandika matangazo mtaa mzima
 
Back
Top Bottom