financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Sijui kapatwa na nini maskini😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kapatwa na nini maskini😀😀
sio woteKuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu.
Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
Mwanamke kama kwao alikuwa anafanya kazi za nyumbani kupika kufua kusafisha nyumba, huyo mwanamke ata akija kuolewa na kupata kazi lazima ataendelea kuzifanya kazi za nyumba, Wanawake kama hao wanaitwa majembe, kwanza bila kufua wao wenye nguo wanaona nguo hazija fuliwa, Kwa kifupi mwanamke aliye zoea kufanya kazi za nyumbani huwezi kuvumilia kuona mambo yapo hovyo nyumbani lazima ataingilia kuzifanya mwenyewe, Ukiona umeoa mke na na Nyumba ipo hovyo kaa ukijua mambo ya hovyo kutokana kwao, ukiona mwanamke msafi wa Nyumba huo usafi katoka nao kwao.Tatizo lenu vijana ni kuoa bila kujua malengo na mataraijo ya mwenzio kwenye ndoa. Mnafanya ndoa kama "default setting" sasa mwenzio anapo taka ku customise settings unaona umeyeyushwa.
Kuna tofauti kati ya kuoa mama wa nyumbani na kuoa mwanamke ambaye wote mnadamka kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni au usiku.
Sasa wewe unataka uoe mwanamke mfanyakazi halafu akufanyie mambo kama mama wa nyumbani. Hiyo haiwezekani.
Unapoa mwanamke mfanyakazi lazima ujue mke sawa. Tofauti yenu ni kitandani tu kwamba mwingine ana tundu na mwingine ana fimbo. Lakini kwenye aspects zingine zote mtakuwa sawa.
Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.
Sasa wewe umeoa mwanamke mfanyakazi halafu unarudi nyimbani unataka akuandalie chakula, akuwekee maji ya kuoga...you are stupid.
Mkuu 50/50 wanayo Wazungu wao kwenye kipindi cha uchumba kila mtu ana tumia pesa zake, kwenye ndoa hakuna ubinafsi kila senti inajulikana matumizi yake haijalishi pesa za mume wala za mke.Hapa ndipo 50/50 huwa inagoma kuingia kichwani. Mwanamke kapewa access ya elimu, ajira, kuzalisha na kumiliki mali sasa kwanini jukumu la kumtunza libaki kwa mwanaume?. Lazima kimoja kiondolewe kama tukiweka usawa basi mwanaume aondolewe ilo jukumu la kumtunza mwanamke au tukitaka mwanaume awajibike kumtunza mwanaume basi mwanamke aondolewe haki ya kupata elimu ya juu, kumiliki/kuzalisha mali na kupata ajira, izo haki apewe mwanaume tu ili aweze kutimiza jukumu la kumtunza mwanamke.
Mkuu,Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu.
Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
Akizengua si anabeba chupi zake anaondoka?Sidhani. Ila hii mifala ya mjini ambayo inadhani ina elimu kichwani kumbe ni zero, inang'ang'ania usawa wa kijinsia na wakati huo huo wanataka kuhudumiwa Kama wagonjwa, wanakera Sana. Silaha yao kubwa ni hayo makalio yaliyovunda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Wahenga tulistuka mapema sana kuoa Ke wasomi ambao kiakili wanaishi kwa kushindana na asili kiuumbwaji kwa upumbavu uitwao "Haki Sawa (50% per 50%)."Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu.
Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
Kuoana [emoji777] Kuoa/Kuolewa [emoji736].Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu.
Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
Apataye mke apata kitu chema nae ajipatia kibali kwa Bwana. Ukiwa na akili, utaishi vizuri sana na mwanamke version yoyote ile. Mungu akupe subra.Sidhani. Ila hii mifala ya mjini ambayo inadhani ina elimu kichwani kumbe ni zero, inang'ang'ania usawa wa kijinsia na wakati huo huo wanataka kuhudumiwa Kama wagonjwa, wanakera Sana. Silaha yao kubwa ni hayo makalio yaliyovunda
Mtafanya kazi kwa usawa lakini kamwe hakutakuwa na usawa katika fedha, pesa ya Ke itabaki kuhudumia mawigi, makalio, kope feki, kucha bandia, vikoba, michezo na mavazi yake tu ila si familia kiujumla.Tatizo lenu vijana ni kuoa bila kujua malengo na mataraijo ya mwenzio kwenye ndoa. Mnafanya ndoa kama "default setting" sasa mwenzio anapo taka ku customise settings unaona umeyeyushwa.
Kuna tofauti kati ya kuoa mama wa nyumbani na kuoa mwanamke ambaye wote mnadamka kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni au usiku.
Sasa wewe unataka uoe mwanamke mfanyakazi halafu akufanyie mambo kama mama wa nyumbani. Hiyo haiwezekani.
Unapoa mwanamke mfanyakazi lazima ujue mke sawa. Tofauti yenu ni kitandani tu kwamba mwingine ana tundu na mwingine ana fimbo. Lakini kwenye aspects zingine zote mtakuwa sawa.
Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.
Sasa wewe umeoa mwanamke mfanyakazi halafu unarudi nyimbani unataka akuandalie chakula, akuwekee maji ya kuoga...you are stupid.
Wamekufanyaje tena?Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu.
Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
Wakati unahudumia kama mama wa nyumbani? Hapo ndio kwenye shida wangekuwa na wao wanachangia huduma kwa usawa ingekuwa hamna shida lakini hata mama yake akiumwa gharama ni zako. Hayo uliyoyasema yote hayana maana.Tatizo lenu vijana ni kuoa bila kujua malengo na mataraijo ya mwenzio kwenye ndoa. Mnafanya ndoa kama "default setting" sasa mwenzio anapo taka ku customise settings unaona umeyeyushwa.
Kuna tofauti kati ya kuoa mama wa nyumbani na kuoa mwanamke ambaye wote mnadamka kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni au usiku.
Sasa wewe unataka uoe mwanamke mfanyakazi halafu akufanyie mambo kama mama wa nyumbani. Hiyo haiwezekani.
Unapoa mwanamke mfanyakazi lazima ujue mke sawa. Tofauti yenu ni kitandani tu kwamba mwingine ana tundu na mwingine ana fimbo. Lakini kwenye aspects zingine zote mtakuwa sawa.
Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.
Sasa wewe umeoa mwanamke mfanyakazi halafu unarudi nyimbani unataka akuandalie chakula, akuwekee maji ya kuoga...you are stupid.
Mkuu umeeleza vizuri sana vijana inabidi wachague.Tatizo lenu vijana ni kuoa bila kujua malengo na mataraijo ya mwenzio kwenye ndoa. Mnafanya ndoa kama "default setting" sasa mwenzio anapo taka ku customise settings unaona umeyeyushwa.
Kuna tofauti kati ya kuoa mama wa nyumbani na kuoa mwanamke ambaye wote mnadamka kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni au usiku.
Sasa wewe unataka uoe mwanamke mfanyakazi halafu akufanyie mambo kama mama wa nyumbani. Hiyo haiwezekani.
Unapoa mwanamke mfanyakazi lazima ujue mke sawa. Tofauti yenu ni kitandani tu kwamba mwingine ana tundu na mwingine ana fimbo. Lakini kwenye aspects zingine zote mtakuwa sawa.
Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.
Sasa wewe umeoa mwanamke mfanyakazi halafu unarudi nyimbani unataka akuandalie chakula, akuwekee maji ya kuoga...you are stupid.
Msiwaonee wanawake.Akishindwa kutofautisha usomi na majukumu yake kama mwanamke huyo bado ni mjinga
Ndoa si kwaajili ya kila Ke, Rahabu alikuwa Ke mkarimu, aliokoa Watumishi wa Mungu walipokuwa wakitafutwa kuuwawa na Wapagani.Apataye mke apata kitu chema nae ajipatia kibali kwa Bwana. Ukiwa na akili, utaishi vizuri sana na mwanamke version yoyote ile. Mungu akupe subra.
yote umeongea lkn suala la cost shearing hujalizungumzia au umeona usawa ni hivyo tu ImindTatizo lenu vijana ni kuoa bila kujua malengo na mataraijo ya mwenzio kwenye ndoa. Mnafanya ndoa kama "default setting" sasa mwenzio anapo taka ku customise settings unaona umeyeyushwa.
Kuna tofauti kati ya kuoa mama wa nyumbani na kuoa mwanamke ambaye wote mnadamka kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni au usiku.
Sasa wewe unataka uoe mwanamke mfanyakazi halafu akufanyie mambo kama mama wa nyumbani. Hiyo haiwezekani.
Unapoa mwanamke mfanyakazi lazima ujue mke sawa. Tofauti yenu ni kitandani tu kwamba mwingine ana tundu na mwingine ana fimbo. Lakini kwenye aspects zingine zote mtakuwa sawa.
Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.
Sasa wewe umeoa mwanamke mfanyakazi halafu unarudi nyimbani unataka akuandalie chakula, akuwekee maji ya kuoga...you are stupid.
Hapo kwenye kuhudumiwa kama wagonjwa sasa😅🤣😅🤣😅🤣Sidhani. Ila hii mifala ya mjini ambayo inadhani ina elimu kichwani kumbe ni zero, inang'ang'ania usawa wa kijinsia na wakati huo huo wanataka kuhudumiwa Kama wagonjwa, wanakera Sana. Silaha yao kubwa ni hayo makalio yaliyovunda