Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

Mwanamke kama kwao alikuwa anafanya kazi za nyumbani kupika kufua kusafisha nyumba, huyo mwanamke ata akija kuolewa na kupata kazi lazima ataendelea kuzifanya kazi za nyumba, Wanawake kama hao wanaitwa majembe, kwanza bila kufua wao wenye nguo wanaona nguo hazija fuliwa, Kwa kifupi mwanamke aliye zoea kufanya kazi za nyumbani huwezi kuvumilia kuona mambo yapo hovyo nyumbani lazima ataingilia kuzifanya mwenyewe, Ukiona umeoa mke na na Nyumba ipo hovyo kaa mambo ya hovyo kutokana kwao, ukiona mwanamke msafi wa Nyumba huo usafi katoka nao kwao.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu

Malezi ya hovyo ndio tatizo kubwa
 
Sijaelewa Mkuu.... Tuchambulie zaidi🧐😅
Teh teh teh teh teh ni kwamba, mtu alie na elimu,akitenda maovu anakua amedhamilia kwa sababu anakuwa na uelewa mkubwa. Sasa huyu akikosea hakubali kosa,ni mjanja,hayuko tayali kuelekezwa,na ni mbishi hatari.

Na mtu ambae hana uelewa,yeye akikosea anaweza omba msamaha,na akielimishwa anaelewa.

Wanaitwa wajinga wanapokuwa wamekosea,sasa ndo unaangalia yupi ana ahueni.

Sijui kama nimeeleza vizuri
 
Mwanamke kama kwao alikuwa anafanya kazi za nyumbani kupika kufua kusafisha nyumba, huyo mwanamke ata akija kuolewa na kupata kazi lazima ataendelea kuzifanya kazi za nyumba, Wanawake kama hao wanaitwa majembe, kwanza bila kufua wao wenye nguo wanaona nguo hazija fuliwa, Kwa kifupi mwanamke aliye zoea kufanya kazi za nyumbani huwezi kuvumilia kuona mambo yapo hovyo nyumbani lazima ataingilia kuzifanya mwenyewe, Ukiona umeoa mke na na Nyumba ipo hovyo kaa ukijua mambo ya hovyo kutokana kwao, ukiona mwanamke msafi wa Nyumba huo usafi katoka nao kwao.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hiki kizazi cha mabinti waliosoma boarding na kulelewa na mahouse girl wengi hawajui usafi na kupika.
 
Tatizo lenu vijana ni kuoa bila kujua malengo na mataraijo ya mwenzio kwenye ndoa. Mnafanya ndoa kama "default setting" sasa mwenzio anapo taka ku customise settings unaona umeyeyushwa.

Kuna tofauti kati ya kuoa mama wa nyumbani na kuoa mwanamke ambaye wote mnadamka kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni au usiku.

Sasa wewe unataka uoe mwanamke mfanyakazi halafu akufanyie mambo kama mama wa nyumbani. Hiyo haiwezekani.

Unapoa mwanamke mfanyakazi lazima ujue mke sawa. Tofauti yenu ni kitandani tu kwamba mwingine ana tundu na mwingine ana fimbo. Lakini kwenye aspects zingine zote mtakuwa sawa.

Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.

Sasa wewe umeoa mwanamke mfanyakazi halafu unarudi nyimbani unataka akuandalie chakula, akuwekee maji ya kuoga...you are stupid.
Uliyoyasema ni sahihi isipokuwa kifungu hiki:

Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.

Nasema, Inategemea na malezi ya mwanamke. Nitatoa mfano mke wangu ambaye ni Public Figure, ni CEO huko serikalini. Mimi huwa sitandiki kitanda, sifui nguo (kazi yangu ilikuwa ni kumnunulia washing machines), na sipiki! Hizo anafanya akiwepo ila asipokuwepo kuna house maid.
Na sijawahi kusikia ananiambia kuwa leo zamu yako etc. Ninachokubaliana na wewe ni kuwa kama mwanamke analeta fungu nyumbani, mnakuwa waume wawili ndani ya nyumba wenye ile hulua pendwa tofauti.
 
Demokrasia ndo inawasumbua watu wengi.

Kama nimeoa mama wa nyumbani ni sawa nitahudumia kila kitu maana muda wake yeye anautoa katika shughuli za familia 24/7.

Kama nimeoa mke mfanyakazi anayeingiza kipato ajue kabisa hicho ni kipato cha familia na lazima kije mezani maana muda unaotumika ni muda wa familia.

Hiyo haina discussion kama hataki anasepa
 
Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu.

Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
Zubeda is loading...!
 
Back
Top Bottom