Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

Ukiona vyema bora usioe maana hamna vita rahisi, Ukioa haina tofauti na kuokoka yaani ni sawa na umetangaza vita na shetani hivyo huwezi ukategemea amani kila siku... Either wewe au mke au mtoto lazima kuwapo na changamoto kutoka kwa yoyote.... Ndo maana unashauriwa ukiamua kuoa basi uishi kwa akili sana maana unaweza kujikuta unafanya maamuzi ya kuua sisimizi kwa nyundo ukasua sakafu.
 
sio wote
 
Mwanamke kama kwao alikuwa anafanya kazi za nyumbani kupika kufua kusafisha nyumba, huyo mwanamke ata akija kuolewa na kupata kazi lazima ataendelea kuzifanya kazi za nyumba, Wanawake kama hao wanaitwa majembe, kwanza bila kufua wao wenye nguo wanaona nguo hazija fuliwa, Kwa kifupi mwanamke aliye zoea kufanya kazi za nyumbani huwezi kuvumilia kuona mambo yapo hovyo nyumbani lazima ataingilia kuzifanya mwenyewe, Ukiona umeoa mke na na Nyumba ipo hovyo kaa ukijua mambo ya hovyo kutokana kwao, ukiona mwanamke msafi wa Nyumba huo usafi katoka nao kwao.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu 50/50 wanayo Wazungu wao kwenye kipindi cha uchumba kila mtu ana tumia pesa zake, kwenye ndoa hakuna ubinafsi kila senti inajulikana matumizi yake haijalishi pesa za mume wala za mke.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Kuna wajinga 2 dunia hii:
1. Mjinga asie na elimu
2. Mjinga mwenye elimu.
Huyu mjinga mwenye elimu,ni mbaya mno. Ubaya wake huna kifani.

Mi nimemaliza,hope umeelewa
 
Wahenga tulistuka mapema sana kuoa Ke wasomi ambao kiakili wanaishi kwa kushindana na asili kiuumbwaji kwa upumbavu uitwao "Haki Sawa (50% per 50%)."

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuoana [emoji777] Kuoa/Kuolewa [emoji736].

Me Muoaji sababu hutoa posa na mahari kwao Ke.

Ke Muolewaji sababu hutolewa posa na mahari na Muoaji.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani. Ila hii mifala ya mjini ambayo inadhani ina elimu kichwani kumbe ni zero, inang'ang'ania usawa wa kijinsia na wakati huo huo wanataka kuhudumiwa Kama wagonjwa, wanakera Sana. Silaha yao kubwa ni hayo makalio yaliyovunda
Apataye mke apata kitu chema nae ajipatia kibali kwa Bwana. Ukiwa na akili, utaishi vizuri sana na mwanamke version yoyote ile. Mungu akupe subra.
 
Mtafanya kazi kwa usawa lakini kamwe hakutakuwa na usawa katika fedha, pesa ya Ke itabaki kuhudumia mawigi, makalio, kope feki, kucha bandia, vikoba, michezo na mavazi yake tu ila si familia kiujumla.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wamekufanyaje tena?
 
Wakati unahudumia kama mama wa nyumbani? Hapo ndio kwenye shida wangekuwa na wao wanachangia huduma kwa usawa ingekuwa hamna shida lakini hata mama yake akiumwa gharama ni zako. Hayo uliyoyasema yote hayana maana.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeeleza vizuri sana vijana inabidi wachague.

Yaani Mama Msomi mwenye kazi anashinda kazini anarudi kachoka hoi bin taabani.

Sasa unataka akutandikie kitanda, akufurie nguo, akupikie chakula kizuri, afanye usafi wa ndani na mkae mezani mtazame Tv kwa mahaba huku kachoka?

Haiwezekani. Then baadae pesa yake nayo tena unataka mgawane?

Hapa utaishia kulalamika na kuona kuwa Mke ana dharau wala sio kweli.

**** wale wanauma wanaoa mwanamke Msomi wakitarajia kwamba watasaidiana majukumu ya nyumbani na uchumi.......huu ni uvivu wa kufikiri na ndio wanakuja na nyuzi za kutukana wanawake.

Mwanamke ni wa kuto*** tu na kukuzalia watoto na kupamba nyumba yako.

Makujumu mengine ni yako mwanaume.

Usipotambua hili lazima uje na Kauli ya KATAA NDOA.
 
Akishindwa kutofautisha usomi na majukumu yake kama mwanamke huyo bado ni mjinga
Msiwaonee wanawake.

Hawa tunaofanya nao kazi maofisini tunatoka wote tumechoka sidhani kama anaweza kurudi nyumbani. Akabinua viuno vizuri usiku kwa mume wake.

Ni kazi ngumu tunafanya tena kwa masaa mengi.

Huwa nawaonea huruma. Na bado afike nyumbani ana nyonyesha au usiku kucha anabembeleza mtoto.
 
Apataye mke apata kitu chema nae ajipatia kibali kwa Bwana. Ukiwa na akili, utaishi vizuri sana na mwanamke version yoyote ile. Mungu akupe subra.
Ndoa si kwaajili ya kila Ke, Rahabu alikuwa Ke mkarimu, aliokoa Watumishi wa Mungu walipokuwa wakitafutwa kuuwawa na Wapagani.

Hatimaye Rahabu hakuolewa kamwe! Isipokuwa alibaki kuwa Kahaba tu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
yote umeongea lkn suala la cost shearing hujalizungumzia au umeona usawa ni hivyo tu Imind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…