Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

Hakika mkuu

Malezi ya hovyo ndio tatizo kubwa
 
Sijaelewa Mkuu.... Tuchambulie zaidi🧐😅
Teh teh teh teh teh ni kwamba, mtu alie na elimu,akitenda maovu anakua amedhamilia kwa sababu anakuwa na uelewa mkubwa. Sasa huyu akikosea hakubali kosa,ni mjanja,hayuko tayali kuelekezwa,na ni mbishi hatari.

Na mtu ambae hana uelewa,yeye akikosea anaweza omba msamaha,na akielimishwa anaelewa.

Wanaitwa wajinga wanapokuwa wamekosea,sasa ndo unaangalia yupi ana ahueni.

Sijui kama nimeeleza vizuri
 
Hiki kizazi cha mabinti waliosoma boarding na kulelewa na mahouse girl wengi hawajui usafi na kupika.
 
Uliyoyasema ni sahihi isipokuwa kifungu hiki:

Mtafua nguo kwa zamu au kwa kushirikiana, mtanya usafi kwa zamu au kwa kushirikiana, mtapika kwa zamu au kwa kushirikiana etc.

Nasema, Inategemea na malezi ya mwanamke. Nitatoa mfano mke wangu ambaye ni Public Figure, ni CEO huko serikalini. Mimi huwa sitandiki kitanda, sifui nguo (kazi yangu ilikuwa ni kumnunulia washing machines), na sipiki! Hizo anafanya akiwepo ila asipokuwepo kuna house maid.
Na sijawahi kusikia ananiambia kuwa leo zamu yako etc. Ninachokubaliana na wewe ni kuwa kama mwanamke analeta fungu nyumbani, mnakuwa waume wawili ndani ya nyumba wenye ile hulua pendwa tofauti.
 
Demokrasia ndo inawasumbua watu wengi.

Kama nimeoa mama wa nyumbani ni sawa nitahudumia kila kitu maana muda wake yeye anautoa katika shughuli za familia 24/7.

Kama nimeoa mke mfanyakazi anayeingiza kipato ajue kabisa hicho ni kipato cha familia na lazima kije mezani maana muda unaotumika ni muda wa familia.

Hiyo haina discussion kama hataki anasepa
 
Zubeda is loading...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…