Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

Humu watu watapopoana ....

Yote ya yote.. Mwanamke inategemea unamuundaje..

Inatakiwa ktk kipindi cha uchumba ndio sehemu ya kufanyiana crafting vzr, pia Muangalie na aina ya Wanawake wa kuoa.

Kuna aina flani sitaitaja, haipaswi hata kuwa nae kiuchumba. Ni matatizo.

Oa Mwanamke anaeijua Dini na anaejua kupika. Mwanamke wa hivi hutakuja kulaumina na mtu mambo ya 50/50.
 
Omba mungu upate fungu lako!!

Yeyote anaweza Badilika baada ya kupata kile Cha zamani alichokua anakililia na kuanza matamanio mapya ambayo huwezi mpatia na akabadilika!!

Humu jamvini Kuna watu wanatafuta ndoa yaani mume wa kufa na kuzikana lakini hawajiulizi wakishampata watakua wamemaliza au wataanza malengo mapya na mume kumuona hafai na kutaka vipya!!!?


Wewe oa acha oa Tena ACHA Hadi utakapopata anaefiti!kuoa ni kubahatisha bahatisha Hadi umpate mungu aliekujaalia!!!
 
Na hii tiketi ya kuwapekuwa pants wadada wa kazi kwa uhuru wetu![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiiii bhagoshaa!.
 
Apataye mke apata kitu chema nae ajipatia kibali kwa Bwana. Ukiwa na akili, utaishi vizuri sana na mwanamke version yoyote ile. Mungu akupe subra.
Kweli kabisa . Ukiwa na akili za kuvukia barabara huwezi ishi na mwanamke yeyote. Asidhani kuoa wa kijijini ndio ataepuka changamoto, ahh wapi
 

[emoji54][emoji54][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana
Kuna ambao wako na hao wasomi na Wana enjoy maisha😅
 
Sidhani. Ila hii mifala ya mjini ambayo inadhani ina elimu kichwani kumbe ni zero, inang'ang'ania usawa wa kijinsia na wakati huo huo wanataka kuhudumiwa Kama wagonjwa, wanakera Sana. Silaha yao kubwa ni hayo makalio yaliyovunda
🤣🤣Pole kumbe ulioa muumini wa 50/50
Hakuna namna lzm uite maji mma
 
50/50 kwenye maeneo yote mwanamke anakubali ila ikigusa kwenye hela yake hapo ndipo anakuwa mbogo.
 
Mkuu 50/50 wanayo Wazungu wao kwenye kipindi cha uchumba kila mtu ana tumia pesa zake, kwenye ndoa hakuna ubinafsi kila senti inajulikana matumizi yake haijalishi pesa za mume wala za mke.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
50/50 hata ulaya ilipo anzia wenyewe imekuwa ngumu kutekelezwa na ndio maana idadi wanao oa ulaya inapungua kwa kasi,talaka zipi za kutosha. Wanawake wanakipigania wasicho kijua.
 
Umesema mwanamke yupo "hoi bin taabani...." sasa hapo unamt*mba vipi....... na huo mda wa kuzaa nae anaupata wapi?

Ukitaka ndoa yako itoboe Rudi kwenye old school way za sheria za ndoa ila hizi modern style, ndoa lazima ivunjike,ulaya huko CNN walilipoti juzi ndoa zimepingua kwa zaidi ya asilimia 50 na hizo zinazo baki 70% huishia kwenye talaka,20% wale walio amua kuishi sababu ya watoto, 10% ndio wanaishi kwa amani na upendo.
 
Sasa akiwa hoi usitegemee hata kitomb* cha uhakika
 
Sidhani. Ila hii mifala ya mjini ambayo inadhani ina elimu kichwani kumbe ni zero, inang'ang'ania usawa wa kijinsia na wakati huo huo wanataka kuhudumiwa Kama wagonjwa, wanakera Sana. Silaha yao kubwa ni hayo makalio yaliyovunda
Ha ha ha....mkuu unatoa povu Kali mno[emoji28]
 
Tujipongeze tulio oa kina aishi manula[emoji4]
 
Mkuu 50/50 wanayo Wazungu wao kwenye kipindi cha uchumba kila mtu ana tumia pesa zake, kwenye ndoa hakuna ubinafsi kila senti inajulikana matumizi yake haijalishi pesa za mume wala za mke.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Wabongo kwenye uchumba ni mizinga heavy, afu Ni non-stop mpk akil ikukae sawa.

Ukiuliza, unajibiwa eti ulkua unapimwa Kama unampenda kweli au unataka kumchezea[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…