Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

Hawa masista duuuh Mimi wananielewa unakuta kashindwa kitu kidogo kakuita njoo unirekebishie ili kutengeneza ukaribu wa kunipiga namwambia sikia nikija unanilipa hutaki tafuta Fundi akurekebishie utasikia basi njoo arekebishe ntakulipa Mwanaume narekebisha haya weka 5k hapo kwenye muamala anaweka Mimi huyooo sicheki na nyani my life means business tusileteane urembo
 
Usijenge ukaribu huo utachezea za mbavu mpaka uelewe unaletewa zile za nataka nikasuke rasta zinauzwa 15k Pesa za kusikia rasta 20k na usafiri wa kufika kwa msusi 10k usisahau kutumia na ya kutolea

Sasa balaa hizo rasta akishasuka kuna Muhuni anaenda kuzivutavuta na hajachangia hata Mia mbovu
 
Muhun azivuta back and front free fulee 😅😅
 
Hello,

Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko, anakufata humo humo shimoni akupige kizinga.

Sometimes atajifanya amevutiwa na wewe kimapenzi (ilhali kiuhalisia hakutaki) ili tu ujae umhonge, au umnunulie msosi pale unapokua umemtoa out, yeah you read it right (msosi) it sounds crazy & unbelievable lakini ndo ilivyo, yani women never cease to amaze me.

Saa ingine mtu huna hata namba yake wala hujawahi mtongoza na hujamuonesha hata dalili kuwa unamtaka kimapenzi, anaanza mizinga😁, sometimes sio hela, anaweza akawa anakwambia kila siku umnunulie msosi flani, kwa hapa nashindwaga waelewa kwakweli.

Sahivi nishawajulia, nikiombwa favors k.v mizinga na misosi, ilhali mdada sina ukaribu nae sana, nawaambia wao waanze kwanza kuninunulia, halafu siku ingine mimi ntawanunulia (tangu niwe nawaomba hivyo, sikuwahi pewa hata pipi, wakati wao walitegemea niwape kuku mzima😁) au nawaambia wawaambie boyfriends wao wawanunilie.

Be wise,
Stay putinized.
Wanawake mie nashindwa elewa kwa kweli yaani wanajua kitu mwanaume tanataka na sie tunajua wanachotaka sii tupeane tuu bila mambo mengi. Why make life difficult jameni
 
Usijenge ukaribu huo utachezea za mbavu mpaka uelewe unaletewa zile za nataka nikasuke rasta zinauzwa 15k Pesa za kusikia rasta 20k na usafiri wa kufika kwa msusi 10k usisahau kutumia na ya kutolea

Sasa balaa hizo rasta akishasuka kuna Muhuni anaenda kuzivutavuta na hajachangia hata Mia mbovu
Narudia tena

Mwanamke anatumia hela yako kujipendezesha ili apendwe na wanaume wenye hela zaidi yako.
 
Kusema kweli mi kuna mmama mmoja ni jirani yangu single maza, kuna vizinga flani akinipiga huwa natoa tu kama sadaka!

Maana naona anapambana kuokoa familia yake, sio kwa ajili ya starehe..

Huyu mama ana watoto saba, ana struggle mwenyewe hana biashara yoyote kwa sasa, alikuwa na genge jirani hapo tu wamemtimua😭

Najitahidi kumpa hata hela ya kitini kimoja tu kwa wiki asaidie watoto wake japokua na mimi ni jobless ila tutafika tu
Utakufa umechoka sana Mzee tena umepinda mgongo
 
imagine kakuku robo ka 2000 nako unamnyima mtu
Nadhani hiyo 2,000 kwa kuwa ni ndogo tuseme 2,000 nayo ya kuomba mtu kwanini usiwe nayo tu mwenyewe.
Hivyo tumshangae aliyeiomba sio aliekataa kumpa kwasababu fedha ni yake na kutoa ni Moyo na sio lazima na Kuna wengi wanaohitaji msaada na wanadhiki yakweli kabisa kwanini ukawape wasiohitaji msaada ila wanaohitaji kuhongwa.
 
Hello,

Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko, anakufata humo humo shimoni akupige kizinga.

Sometimes atajifanya amevutiwa na wewe kimapenzi (ilhali kiuhalisia hakutaki) ili tu ujae umhonge, au umnunulie msosi pale unapokua umemtoa out, yeah you read it right (msosi) it sounds crazy & unbelievable lakini ndo ilivyo, yani women never cease to amaze me.

Saa ingine mtu huna hata namba yake wala hujawahi mtongoza na hujamuonesha hata dalili kuwa unamtaka kimapenzi, anaanza mizinga😁, sometimes sio hela, anaweza akawa anakwambia kila siku umnunulie msosi flani, kwa hapa nashindwaga waelewa kwakweli.

Sahivi nishawajulia, nikiombwa favors k.v mizinga na misosi, ilhali mdada sina ukaribu nae sana, nawaambia wao waanze kwanza kuninunulia, halafu siku ingine mimi ntawanunulia (tangu niwe nawaomba hivyo, sikuwahi pewa hata pipi, wakati wao walitegemea niwape kuku mzima😁) au nawaambia wawaambie boyfriends wao wawanunilie.

Be wise,
Stay putinized.
Uko sahihi kama unajitafuta usihendekeze hao matapeli utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom