My dear sister
Amehlo
Sijui kama umeelewa maana ya uzi wangu, kila mtu anapitia kipindi ambacho kuna muda huwa anakwama kipesa, na hio inaeleweka, na mtu mwenye shida genuine ya msosi anajulikana, nikigundua hivyo mimi huwa ni mkarimu sana kwenye swala la msosi na nakuwa sitegemei chochote in return.
Shida ni ile unakuta mdada mko wote kazini mnafanya kazi, anakuwa kama vile anaku "finesse/manipulate" yani indirectly anakujengea idea kichwani kuwa ukimnumulia msosi utampata kimapenzi, mfano mdada anaweza kuja kwangu na macho ya kurembua huku akinigusa gusa mkono akinambia balqior ninunulie breakfast basi, nkimwambia aninunulie yeye anajibu mwanamke hanaga hela, na hapo sijawahi mtongoza 😁, I wonder why wanafanya hivyo, whether they do it for fun or what.
Sometimes mdada ana hela za kujitoa out, ila anaenda bar akiwa hajabeba hela, maana anajua kuna wanaume watajitokeza wa kumnunulia bia za bure, hlf baadae anawakimbia hao wanaume, same goes to misosi, mwanamke anakubali mitoko ya wanaume wanaomtongoza ili a-save hela yake ya msosi (foodie calls) baada ya mtoko, wanaume wanakimbiwa, mbaya zaidi baada ya mtoko wanaenda jisifu na kukucheka kwa rafiki zao wa kike kuwa kuna boya amemnunulia msosi akidhani atapata sex.
It's a very sad & wicked world, na wanaume wengi sahivi tumeshtukia hii mbinu.