Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Hapo mkuu inategemea ila zinaweza kufika mpaka buku jero 1500Oya fundi manyumba kibanda cha chumba self na sebule kinaweza gharimu tofali ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mkuu inategemea ila zinaweza kufika mpaka buku jero 1500Oya fundi manyumba kibanda cha chumba self na sebule kinaweza gharimu tofali ngapi
Huwa nakupenda sana Joanah sababu haujamezwa na hii collective thinking iliyomo humu.Wanaomtupia mawe mleta mada kwani chakula sio hela hiyo?...JF bhana
Hao mademu hawakujui tabia yako mwanangu we si kuna uzi ulitupostia sambwanda kwamba unalifumua masega wewe, wakijua watakaa mita 200000Hello,
Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko, anakufata humo humo shimoni akupige kizinga.
Sometimes atajifanya amevutiwa na wewe kimapenzi (ilhali kiuhalisia hakutaki) ili tu ujae umhonge, au umnunulie msosi pale unapokua umemtoa out, yeah you read it right (msosi) it sounds crazy & unbelievable lakini ndo ilivyo, yani women never cease to amaze me.
Saa ingine mtu huna hata namba yake wala hujawahi mtongoza na hujamuonesha hata dalili kuwa unamtaka kimapenzi, anaanza mizinga😁, sometimes sio hela, anaweza akawa anakwambia kila siku umnunulie msosi flani, kwa hapa nashindwaga waelewa kwakweli.
Sahivi nishawajulia, nikiombwa favors k.v mizinga na misosi, ilhali mdada sina ukaribu nae sana, nawaambia wao waanze kwanza kuninunulia, halafu siku ingine mimi ntawanunulia (tangu niwe nawaomba hivyo, sikuwahi pewa hata pipi, wakati wao walitegemea niwape kuku mzima😁) au nawaambia wawaambie boyfriends wao wawanunilie.
Be wise,
Stay putinized.
Hasa watoto wa 2000 hawana adabu kabisa [emoji3061]Hello,

Saa ingine mtu huna hata namba yake wala hujawahi mtongoza na hujamuonesha hata dalili kuwa unamtaka kimapenzi, anaanza mizinga[emoji16], sometimes sio hela, anaweza akawa anakwambia kila siku umnunulie msosi flani, kwa hapa nashindwaga waelewa kwakweli.
Sahivi nishawajulia, nikiombwa favors k.v mizinga na misosi, ilhali mdada sina ukaribu nae sana, nawaambia wao waanze kwanza kuninunulia, halafu siku ingine mimi ntawanunulia (tangu niwe nawaomba hivyo, sikuwahi pewa hata pipi, wakati wao walitegemea niwape kuku mzima[emoji16]) au nawaambia wawaambie boyfriends wao wawanunilie.
Be wise,
Stay putinized.
Dogo ana elements za 🌈Dogo unaambiwa ununue chakula unapandisha uzi humu😂😂😂😂😂😂😂
Endelea kujitafuta!
Haaaah. Kuna mmoja kila nikimtext nimekumisi anajibu, tuma hela ili nione kama kweli umenimisiHello,
Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko, anakufata humo humo shimoni akupige kizinga.
Sometimes atajifanya amevutiwa na wewe kimapenzi (ilhali kiuhalisia hakutaki) ili tu ujae umhonge, au umnunulie msosi pale unapokua umemtoa out, yeah you read it right (msosi) it sounds crazy & unbelievable lakini ndo ilivyo, yani women never cease to amaze me.
Saa ingine mtu huna hata namba yake wala hujawahi mtongoza na hujamuonesha hata dalili kuwa unamtaka kimapenzi, anaanza mizinga😁, sometimes sio hela, anaweza akawa anakwambia kila siku umnunulie msosi flani, kwa hapa nashindwaga waelewa kwakweli.
Sahivi nishawajulia, nikiombwa favors k.v mizinga na misosi, ilhali mdada sina ukaribu nae sana, nawaambia wao waanze kwanza kuninunulia, halafu siku ingine mimi ntawanunulia (tangu niwe nawaomba hivyo, sikuwahi pewa hata pipi, wakati wao walitegemea niwape kuku mzima😁) au nawaambia wawaambie boyfriends wao wawanunilie.
Be wise,
Stay putinized.
Ukidate na vitoto vya 2000 shida sana!!Hello,

Mkuu usiwe na roho mbaya kiasi hicho. Kwani ukimbunulia misosi afu yeye akakulipa mbunye shida iko wapi?Hello,

Huwa nakupenda sana Joanah sababu haujamezwa na hii collective thinking iliyomo humu.
Mitazamo yako waga iko too logically nonpartisan, haunaga mambo ya kuegemea jinsia au kufuata majority wanasemaje.
Hakika una kitu Joanah na watu kama wewe ndio mnastahili kukaa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi mbali mbali hasa yanayohusu migogoro mizito ya kijamii.
Wanaume ndo tunaishigi hivyo.Kusema kweli mi kuna mmama mmoja ni jirani yangu single maza, kuna vizinga flani akinipiga huwa natoa tu kama sadaka!
Maana naona anapambana kuokoa familia yake, sio kwa ajili ya starehe..
Huyu mama ana watoto saba, ana struggle mwenyewe hana biashara yoyote kwa sasa, alikuwa na genge jirani hapo tu wamemtimua
Najitahidi kumpa hata hela ya kitini kimoja tu kwa wiki asaidie watoto wake japokua na mimi ni jobless ila tutafika tu
Kizazi chetu au niseme dunia yetu ya sasa iko kwenye psychological au non-physical gender war, matatizo mengi yanayotokea kwenye jamii yetu hasa yanahusu mahusiano/ndoa, binadamu walio wengi wanaya jadili kwa hisia zenye mchanganyiko wa chuki za kijinsia.Huwa naambiwa sana mkuu,nisingekuwa na aibu kupindukia ningekuwa nakubali MARA CHACHE nazopewa uongozi
Japo siko perfect mara zote kwenye hiyo mitazamo lakini mara nyingi najitahidi kuwa fair,sitoi judgement ili tu ku-favour jinsia yangu na sijali nani atanichukuliaje
Umeanzisha uzi kwa sababu ya chakula? Si umnunulie uchape lapa? Chakula? Au kuna kingine?Hello,
Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko, anakufata humo humo shimoni akupige kizinga.
Sometimes atajifanya amevutiwa na wewe kimapenzi (ilhali kiuhalisia hakutaki) ili tu ujae umhonge, au umnunulie msosi pale unapokua umemtoa out, yeah you read it right (msosi) it sounds crazy & unbelievable lakini ndo ilivyo, yani women never cease to amaze me.
Saa ingine mtu huna hata namba yake wala hujawahi mtongoza na hujamuonesha hata dalili kuwa unamtaka kimapenzi, anaanza mizinga😁, sometimes sio hela, anaweza akawa anakwambia kila siku umnunulie msosi flani, kwa hapa nashindwaga waelewa kwakweli.
Sahivi nishawajulia, nikiombwa favors k.v mizinga na misosi, ilhali mdada sina ukaribu nae sana, nawaambia wao waanze kwanza kuninunulia, halafu siku ingine mimi ntawanunulia (tangu niwe nawaomba hivyo, sikuwahi pewa hata pipi, wakati wao walitegemea niwape kuku mzima😁) au nawaambia wawaambie boyfriends wao wawanunilie.
Be wise,
Stay putinized.
Bado mtoto ww huwezi kuombwa au kuzoewa kishamba kama hujatengeneza mazingira nawoHello,