Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

Mbona hakuna ujanja hayo ni Maisha ya kawaida tu hakuna ujanja hapo wala hakuna kipya ulicho tufundisha ama tushangaza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wadada wengi ni vichefuchefu sana, halafu ukiongea nao kwa bashasha wanahisi unawataka, kuna demu mmoja hapa Kitaa aliniomba vocha nikamnunulia tigo ya 2000 tena kiroho safi kabisa. Eti ooh huwa najiunga ya 3000 Mimi, nikamwambia lete hiyo vocha nikutumie kwa tigoPesa alivyoirudisha tu nikamwambia haya kwaheri tembea na Yesu. Huna shukrani wewe nakupa vocha ya 2000 bila terms zozote unanipangia?
Mpaka leo hii akiniona kwa mbali lazima abadilishe njia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had baas, khaaaah
 
Haaaah. Kuna mmoja kila nikimtext nimekumisi anajibu, tuma hela ili nione kama kweli umenimisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyoo dada ana hoja, asikilizwe
 
We dogo ni mchoyo Sana !! yaani anaomba tu umpe msosi ndo kelele zotee hizo,, siku ukiombwa msosi Tena uje in -box yangu nikulipie hiyo bill,, usitutukanishe Wanaume Kwa dada zetu bila sababu!! Yaani msosi tuu!! Daah
 
Mnakutanaga wapi na hawa wadada wenye njaa hivi?
 
Kuna wanaume wameumbiwa kuttomber tuu nawengine wameumbiwa kuhonga, na saikologia ya wanawake wanalijua ilo. Kama unaona wanakufata wa kukutaka uwape ela sijui out jua washakusoma we ni mpole, unarubunika, na ukikataa lazima wamind sababu wanaona we ni wahivo.

But trust me wakifika kwa wakurugwa wazee wa kazi mikazo nati hua hawathubutu kuomba ata mia, kurembua au kujibinua tako wanajua uyu sio wa kutest, na wakitoa K wanatoa kweli inashughulikiwa vizuri tuu bila ata ela ya chupi na mwanamke anaridhika wala hamind.
 
ujawahi nyonya maxima mkuu wengine walilala fofofoo Lodge oooh
 
Back
Top Bottom