Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

Hawa masista duuuh Mimi wananielewa unakuta kashindwa kitu kidogo kakuita njoo unirekebishie ili kutengeneza ukaribu wa kunipiga namwambia sikia nikija unanilipa hutaki tafuta Fundi akurekebishie utasikia basi njoo arekebishe ntakulipa Mwanaume narekebisha haya weka 5k hapo kwenye muamala anaweka Mimi huyooo sicheki na nyani my life means business tusileteane urembo
 
Usijenge ukaribu huo utachezea za mbavu mpaka uelewe unaletewa zile za nataka nikasuke rasta zinauzwa 15k Pesa za kusikia rasta 20k na usafiri wa kufika kwa msusi 10k usisahau kutumia na ya kutolea

Sasa balaa hizo rasta akishasuka kuna Muhuni anaenda kuzivutavuta na hajachangia hata Mia mbovu
 
Muhun azivuta back and front free fulee 😅😅
 
Wanawake mie nashindwa elewa kwa kweli yaani wanajua kitu mwanaume tanataka na sie tunajua wanachotaka sii tupeane tuu bila mambo mengi. Why make life difficult jameni
 
Narudia tena

Mwanamke anatumia hela yako kujipendezesha ili apendwe na wanaume wenye hela zaidi yako.
 
Utakufa umechoka sana Mzee tena umepinda mgongo
 
imagine kakuku robo ka 2000 nako unamnyima mtu
Nadhani hiyo 2,000 kwa kuwa ni ndogo tuseme 2,000 nayo ya kuomba mtu kwanini usiwe nayo tu mwenyewe.
Hivyo tumshangae aliyeiomba sio aliekataa kumpa kwasababu fedha ni yake na kutoa ni Moyo na sio lazima na Kuna wengi wanaohitaji msaada na wanadhiki yakweli kabisa kwanini ukawape wasiohitaji msaada ila wanaohitaji kuhongwa.
 
Uko sahihi kama unajitafuta usihendekeze hao matapeli utanishukuru baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…