Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Hello,

Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko, anakufata humo humo shimoni akupige kizinga.

Sometimes atajifanya amevutiwa na wewe kimapenzi (ilhali kiuhalisia hakutaki) ili tu ujae umhonge, au umnunulie msosi pale unapokua umemtoa out, yeah you read it right (msosi) it sounds crazy & unbelievable lakini ndo ilivyo, yani women never cease to amaze me.

Saa ingine mtu huna hata namba yake wala hujawahi mtongoza na hujamuonesha hata dalili kuwa unamtaka kimapenzi, anaanza mizinga😁, sometimes sio hela, anaweza akawa anakwambia kila siku umnunulie msosi flani, kwa hapa nashindwaga waelewa kwakweli.

Sahivi nishawajulia, nikiombwa favors k.v mizinga na misosi, ilhali mdada sina ukaribu nae sana, nawaambia wao waanze kwanza kuninunulia, halafu siku ingine mimi ntawanunulia (tangu niwe nawaomba hivyo, sikuwahi pewa hata pipi, wakati wao walitegemea niwape kuku mzima😁) au nawaambia wawaambie boyfriends wao wawanunilie.

Be wise,
Stay putinized.
 
Dogo unaambiwa ununue chakula unapandisha uzi humu😂😂😂😂😂😂😂

Endelea kujitafuta!
 
eti kaka shetani,

mwanamke akuombe kuku mzima wa elfu 25 umnyime?

No way! Chakula sio kitu kabisa cha kumnyima mtu😅😅
Chakula unatoa Ila Wewe unapewa Nini? Nyinyi ndio mafala mnalisha Wanawake wa wanaume wenzenu na hamuoni kitu ndani Manzi inakula msosi wako alafu inaenda kupigiliwa na njemba nyingine na Wewe unaonyesha minjino nje nje eti umefurahi kumnunulia Chakula ale ili apate nguvu ya kuenda kuukalia wa Mwanaume mwenzio
 
Kusema kweli mi kuna mmama mmoja ni jirani yangu single maza, kuna vizinga flani akinipiga huwa natoa tu kama sadaka!

Maana naona anapambana kuokoa familia yake, sio kwa ajili ya starehe..

Huyu mama ana watoto saba, ana struggle mwenyewe hana biashara yoyote kwa sasa, alikuwa na genge jirani hapo tu wamemtimua😭

Najitahidi kumpa hata hela ya kitini kimoja tu kwa wiki asaidie watoto wake japokua na mimi ni jobless ila tutafika tu
 
Chakula unatoa Ila Wewe unapewa Nini? Nyinyi ndio mafala mnalisha Wanawake wa wanaume wenzenu na hamuoni kitu ndani Manzi inakula msosi wako alafu inaenda kupigiliwa na njemba nyingine na Wewe unaonyesha minjino nje nje eti umefurahi kumnunulia Chakula ale ili apate nguvu ya kuenda kuukalia wa Mwanaume mwenzio
Naam
 
Msosi nacho ni kitu cha kumnyima mtu.
Mkuu inategeme, mie kuna mmoja aliniambia tu kama utani nikamnunulia, aisee yaan akaona cha mchana hakitoshi akaja mpaka supu asubuhi, ilifika hatua yeye anakula unastukia wadeni kuja kuchukua hela.

Nilichofanya nikamtongoza kinguvu ingawaje nikaweka mazingira anipe ndogo(jicho) lengo lilikuwa na kumfukuza na nikafanikiwa
 
Back
Top Bottom