Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na madada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia.

Cha ajabu, nilipokuwa nampigia simu inaweza kuita muda mrefu bila kupokelewa, na akipokea anaongea kwa mapozi kama vile nataka kumtongoza. Nikawa najiuliza, namba anipe mwenyewe kwa ajili ya mawasiliano ya kiofisi, sasa inakuwaje analeta manjonjo kwenye mawasiliano? Nikahisi, inawezekana labda kutokana na alivyoumbika anahisi kila mwanaume anataka kula tunda kimasihara.

Nilivyofanikisha mzigo wangu, ikabidi nifute na namba yake.
Ungempa mshika, afu usimtongoze...unajua nini kingefuata?
 
Zile sauti za kusifiwa zimewafanya kuwa walemavu kiakili,, wanajawa kiburi mno, na mwanamke ukishakuwa hivi ni hasara maana ataendekeza nyodo na majivuno

Kuna siku nilikuta ofisi haina mtu nliemtaka, nilitoka nje kidogo Ya ofisi Kusubiri, nkaona dada amekaa kwenye benchi, huyo mdada kiukweli ana makalio makubwa na ana mvuto, ila siku hiyo sikua na nia ya kutongoza mtu wala kuomba mtu namba, nlitaka nipige Naye tu story nipoteze muda

Heee nkamsalimia bidada, nikaanza ongea naye story tu za kawaida, aiseee nlijuta, mdada anajibu kwa mkato hlf mdomo kavuta haoneshi hata tabasamu, Mara ashike simu atext, mara akunje mikono yake aweke kifuani, nkaona huu ni ujinga, sikumaliza dk 1 mm nliondoka, nkasema kama alitegemea ntamtongoza imekula kwake, nahic hakuamini kama nliondoka bila kumtongoza wala kumuomba namba maana nilijua mawazo yake yote yalikuwa huko

Na kweli, kuna baadhi ya wadada wenye makalio makubwa wanaona wamemaliza maisha, wana nyodo hao

Mama pretty Equation x The Garang Noelia Kipunga
 
Huyo tayari makalio yake yameshampa ulemavu wa akili, halafu kutongozana ni jambo la kawaida hasa kwa jinsia tofauti sionagi bid deal hapo mwanaume akionyesha nia hiyo ni kulichukulia kawaidana kumtreat vizuri pasipo kuushusha utu wake Wala kujifanya wewe Ni binadamu toleo la kwanza kumbe ushuzi tu
 
Damn true
 
Hahahahah wakishakuwa wametakatishwa na vile viyoyozi na tuela twa madanga 😅 mapozi ni lazima!
Na mlivyo na maajabu Sasa, mwanaume alie serious huwa anaejiona na uzuri wake mnamruka mnamfata asie na nyodo,,

Kuna story moja ipo mitandaoni inasema mkaka mmoja alimpenda kirafiki mwanamke fulani, katika kuwasiliana na mitoko ya hapa na pale, yule mwanamke akawa anaenda na rafikize(micharuko) ila mmojawapo alikuwa tofauti, kuanzia aina ya uongeaji nk mwishowe yule mkaka akampenda na kutaka kumuoa huyo aliyekuwa mstaarabu na kumtosa wa mwanzoni, itafute hiyo story inaendana Sana na hawa walemavu wa akili
 
Kuna siku nilikuta ofisi haina mtu nliemtaka, nilitoka nje kidogo Ya ofisi Kusubiri, nkaona dada amekaa kwenye benchi, huyo mdada kiukweli ana makalio makubwa na ana mvuto, ila siku hiyo sikua na nia ya kutongoza mtu wala kuomba mtu namba, nlitaka nipige Naye tu story nipoteze muda

Heee nkamsalimia bidada, nikaanza ongea naye story tu za kawaida, aiseee nlijuta, mdada anajibu kwa mkato hlf mdomo kavuta haoneshi hata tabasamu, Mara ashike simu atext, mara akunje mikono yake aweke kifuani, nkaona huu ni ujinga, sikumaliza dk 1 mm nliondoka, nkasema kama alitegemea ntamtongoza imekula kwake, nahic hakuamini kama nliondoka bila kumtongoza wala kumuomba namba maana nilijua mawazo yake yote yalikuwa huko

Na kweli, kuna baadhi ya wadada wenye makalio makubwa wanaona wamemaliza maisha, wana nyodo hao

Mama pretty Equation x The Garang Noelia Kipunga
Kuna wadada wana akili za ovyo😂😂
 
Mnakosea mnapoondoka hamuwaambii
Unapoamua kuondoka kimya kimya mwenzio anaona amewin. Mwambie akomae kiakili kua sio kila mwanaume akimkaribia anataka kumtongoza, japo kutongoza sio jinai.
Mwambie kua amelemaa kiakili na amesahau kua bila hizo akili huo mwili unateseka tu duniani.
Hapo atamwambia mwenzie "lile lijitu limeniletea shobo nimelikaushia mpaka limeona aibu limeondoka".

Halafu muache shobo zakishamba na nyie. Sio kila mdada mzuri lazima umshobokee. Pia hatakama umevutiwa kweli jikaze uende kiume, sio kushoboka shoboka tuu, unaenda unajilainisha mpaka mtoto analeta pozi.
Nenda serious, manly. Usilegee wala usioneshe shobo. Utakujaga umle mbele huko.

Hizo shobo zenu zinawapa kichwa sana hao.

Me huwa simkawizi mtu. Hata wenye nyodo kwenye huduma za umma kisa maumbo na sura zao huwa nabwaga yangu right there. Sipatagi usumbufu wakishamba.

Unatakiwa umtoe kwenye kuwaza Mgongo wake umlete kwenye conscious yake, then you can talk.
 
Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia.

Cha ajabu, nilipokuwa nampigia simu inaweza kuita muda mrefu bila kupokelewa, na akipokea anaongea kwa mapozi kama vile nataka kumtongoza. Nikawa najiuliza, namba anipe mwenyewe kwa ajili ya mawasiliano ya kiofisi, sasa inakuwaje analeta manjonjo kwenye mawasiliano?

Nikahisi, inawezekana labda kutokana na alivyoumbika anahisi kila mwanaume anataka kula tunda kimasihara.

Nilivyofanikisha mzigo wangu, ikabidi nifute na namba yake.
Nikweli mpendwa hata mimi nahisi unanitongoza sasa tufanyaje??
 
Back
Top Bottom