Yule mdada sidhani aliona kama ame-win, coz vibe nlioenda nayo pale sio ya kingono, sikuwa natarajia chochote toka kwake zaidi ya story.
Yule mdada kesho yake Tena nlienda maeneo yale, nliona anajipitisha pitisha mbele yangu huku ananiangalia Sana kwa mbali, ila ckua na time nae, nahisi alinishangaa na hakuamini, nahic alijiuliza mm ni mwanaume wa aina gani, ambaye naweza kuyaacha makalio yake hivi hivi, nadhani alitegemea cjui ntambembeleza sana na kumwomba namba..plus mialiko ya ghetto na mtoko, kumbe mm walaa
Story nilizopiga na yule mdada ni story ambayo ningepiga hata na mwanaume mwenzangu
Brian Spilner Mama pretty