Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Nyinyi vijana acheni utapeli

Mapenzi ya dhati wala hamuelewi maana halisi

Badala ya kulegeza muowe if at all mnamaanisha

Huo ni upuuzi wa kijinga eti ya dhati......kivipi?

Kafunge doa
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]wamezoea kuhongwa hao. Waoe wafe njaa,watawalisha nini wake zao???
Marioo type hao
 
Wao wenyewe marioo kibao wanatembelea kitonga tu...
 
Hebu subiri kwanza , ulivyomtolea mfano Sakayo
ina maana yuko kwenye lile kundi la kupenda hela ama?
Nimecheka na kushangaa kwa pamoja, unajua mtu ukimpenda mtu bhana halafu ukashindwa kumwambia u namtolea mfano hata ambapo hapahusiki
Sina wivu Sakayo is my best friend
 
Shida yenu nimegundua mnapenda kutunzwa, nahis hawa wamama watu wazima wamewaharibu kabisa[emoji85]
Alete mashuka amekuwa mzazi wako?
Muwe mnajiongeza kiduchu[emoji87]
 
Sasa wewe hata kuandika hujui una shughuli kweli?
Ndege wafananao huruka pamoja, huwez kuwa una shughuli kutwa ukutane na wasio na shughuli
Niwaambie kitu itawasidia wanaume, "never complain about women again, if you find valueless leave her and she will find of her type" mnapoteza nguvu zenu nyingi bila mafanikio
Wkt mwingine najiambia kuna baadhi ya wanaume hawajui wanachotaka[emoji85]
 
mademu ETHIOPIA(njaa kali) cio the best kama unataka mahusiano ya mda mfupi....ila kama unataka mke...oa hao ethiopia maana wengi ugumu wa maisha unawafanya wanakua smart xana kichwani
 
Sasa hapo tatizo ni wao au tatizo ni wewe unaeogopa kuombwa hela?
 
wewe komaa na hio topic yako ya super mario ila ukija magetoni utagongwa tu na kusepa. shida kamtangazie babaako.
 
Shida yenu nimegundua mnapenda kutunzwa, nahis hawa wamama watu wazima wamewaharibu kabisa[emoji85]
Alete mashuka amekuwa mzazi wako?
Muwe mnajiongeza kiduchu[emoji87]
hakuna anaependa kutunzwa hapa mi nna pesa zangu na wewe tafuta zako, kilichotukutanisha ni nyge basi tuishie hapohapo kwenye nyge shida peleka kwa babaako.
na hayo mashuka kaleta mwenyewe sisi hatunaga shobo za kuomba.
narudia tena, kilichotukutanisha ni viungo hivi [emoji111] viwili tu, zaidi ya hapo kila mtu apambane na hali yake hakuna mteremko sku hizi na hakuna malipo baada ya sex kana kwamba nyie mnauza hio kitu.
shida hukooo kwa babaako.
 
mi naona wewe ndo hujielewi unaesoma kila siku topics za boys humu na bado unakubali kubanduliwa angali wajua sisi ni wapigaji tu.
Mkikua mtaelewa dogo, so umri unakuruhusu. Ombea tu balehe isije pitiliza utakuwa sio hasara kwa familia yako tu bali kwa taifa kwa ujumla.
 
Mkikua mtaelewa dogo, so umri unakuruhusu. Ombea tu balehe isije pitiliza utakuwa sio hasara kwa familia yako tu bali kwa taifa kwa ujumla.
upo nje ya mada. njaa peleka kwenu hapa tunatimiziana haja tu. mnakua ombaooomba.
 
Nyinyi vijana acheni utapeli

Mapenzi ya dhati wala hamuelewi maana halisi

Badala ya kulegeza muowe if at all mnamaanisha

Huo ni upuuzi wa kijinga eti ya dhati......kivipi?

Kafunge doa
Tatizo umri, hawa wavulana hawawezi kukuelewa kwa sasa. Hebu rudi baada ya miaka kama kumi hivi maybe mtaelewana.
 
Tatizo umei, hawa wavulana hawawezi kukuelewa kwa sasa. Hebu rudi baada ya miaka kama kumi hivi maybe mtaelewana.
watu wazima wenyewe wanachepuka kwahivo umri sio solution. tumezaliwa kuwagonga tunaoa kutimiza wajibu ila mgongo uko palepale.
ila mada ni kwamba mmekua ombaomba. hatutaki hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…