Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Kwa mitazamo hii ushoga ni ngumu sana kuisha. Watu lazima watalambwa unaweza kuta mimi ni mvulana unawaza hivi. Kesho mtu anakwambia akupapase na mjegeje kwenye makalio haingizi atakupa iphone 13 si unakubali? Maana unaamini sana katika kupewa.
Mm ni mwanaume naamini katika kuhudumia mwanamke nlie nae kwenye mahusiano mkuu Chizi Maarifa
 

Pata wine somewhere nipe namba yako nitalipa
 
Ni nadra sana kukuta demu mzuri wa sura, shape na kiakili yuko vizuri tu halafu anaishi maisha magumu.
 
Njoo Arusha uone pisi Kali zinayembeza soksi, mitumba na ndizi.

Wanaume wa Arusha shida ipo wapi jaman?
Mkuu hii nimeikuta rock city, kuna sehemu panaitwa mecco jioni huwa kuna kisoko mjinga hapo utakutana na pisi za maana kinoma lakini ajabu zinachoma mahindi na kuna moja hiyo tayari iko kwenye rada zangu
 
Njoo Arusha uone pisi Kali zinayembeza soksi, mitumba na ndizi.

Wanaume wa Arusha shida ipo wapi jaman?
Shida sio wanaume wa arusha hao wanawake washajua vya kupewa vinamasimango ndio maana wanafanya kazi. Nishavuta pisi moja ya arusha kiutani utani mikaa kadhaa nyuma ikaniambia inauza matunda nikajua utani alipokuja bongo akakuta nina genge alichangamka sana akawa anatembeza mboga mara apotee mitaa arudi hapo hapo mpka akazoea ila wanawake wa chugga Kijua kitafuta anatafuta kweli
 
Muanzishe wewe usitegemee vya mteremko, nyie mnapenda wake za watu hawana gharama kazi yenu bebi bebi tu.
 
Kwanza ninamashaka na mleta mada anaweza kua han ahata harakati ya kufanya.
 
Wamekusikia,
Watatununulia simu

Na ujengewe sanamu lako kwa kuongea ukweli
 
Kwani huyo mwanamke 'mrembo' ana mapungufu gani yanayomzuia kutafuta pesa na kununua vitu vyake mwenyewe hadi asubiri kununuliwa na BF? Yaani mwanamke akose vitu vizuri halafu lawama apewe mwanaume!! 🤔🤔
 
Njoo Arusha uone pisi Kali zinayembeza soksi, mitumba na ndizi.

Wanaume wa Arusha shida ipo wapi jaman?
Hata mimi nishawahi kukutana na dada flani huko arusha ni mzuri lakini ikifika mida jioni utamkuta yupo na mtoto wake na kideli chake anauza karanga kavu njiani ,kinacho nichanganya zaidi anakaa kwenye nyumba ya kupanga kodi 50,000.

ila alikuwa anaonekana hayupo comfortable na kuuza karanga maana alikuwa kama ananionea aibu nikipiita (tulikuwa tunakaa mtaa mmoja)
 



Sahihi kabisa. [emoji106]
 
Haisee wenzako wanaheshimu utu wao bf sio mtu wa kukunulia simu wala kitj chochote yaani sio tegemeo kwa gf. Hili kosa ndilo linafanya wasichana wasiolewe kwani wanaanza kuonesha utegemezi wao mapema na vijana KUWAKIMBIA Aakikununulia sawa ila si kwa ajili umlipe kwa uzinzi. Ni vyema zaidi ukawa unakataa hv vizawadi kama una NIA UOLEWE. NI HAYO TU.
 
Dah,Thumni,,,inaonesha wewe Alhamdulillaah,,,umelamba chumvi.
 
Njia
Njia mpya ya udangaji hiyo, wanatafuta huruma ya maboya kama nyinyi wawachune haswaaa .
 
Kweli uzuri sio kila kitu kuna tabia na kujua thamani yako. Huyo mmoja ni mzuri na yupo hapa dar ila anatembea hadi na makonda wa daladala ili asidaiwe nauli ya 400 sijui mia 5. Halafu ni shoga angu. Huwa natamani hata nimchape makofi.
Mithali 11:22 Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…