Wacha tubaki tu hivi na ID fake maana wengi wanachokionyesha huku na nje ya huku ni tofauti kabisaNa kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi amini siku zote sikujua hii ID ni yako.. mbaya wewe mfyuuuuu.Yule Mtutsi wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Relax my dear,live your life and don't care anymore. Makwazo yapo tena hayaelezeki.Utakuta mtu anakusemea jambo ambalo halipo kabisa. Pole usiyawekee sana moyoni huku ni mtandaoni tu.Nafuu wewe umejas hekima humu jf tu hujapewa hata mwanachama Bora licha uwe predeshee town
Acha tu washambaa wanasura zinatisha sanaNa kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
πwe wahisi hivyo cool sana hapa
Broπ π€£
Katukanwa yeye acha unafiki, usione jambo la mtu ni upuuzi halafu unajadili kama kawaida ipo siku Hawa Hawa watakusemea vibaya utaonaHakuna inifaayo toka kwako?
Usiwe na makasiriko kama ya mleta uzi maisha mafupi hayaπ
Kwani alipost ππΏAnayekaa na Mtoa Mada amnyang'anye Simu atapost tena.
Shida Nini tena binti maua..?πKatukanwa yeye acha unafiki
We falla unanipamba bure wasije nigawana bureπ€£π€£π€£π€£Huwezi amini siku zote sikujua hii ID ni yako.. mbaya wewe mfyuuuuu.
Jana uliniuliza Velissa sikushtuka yani.. Hajambo beb wako wa Kitutsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tumemiss bata la apartment, nipe maelekezo niandae lingine tumualike na National Anthem
Afu we mdudu unapita kimya kimya au ulivimbiwa makange?π€£π€£π€£Pole mama..!!
Ndiyo maana ulipotea maskiini...!!
Kwani ndo huyo? Mbona ulisema kubwa la maadui ni mwanamke?Wewe Huna dudu unamiliki Bomba sio la maji mrija umepauka Huna hata hela Huna hadhi unasura kama visheti na umekomaa kama viatu vya Petro nani kakuambia nitaishi milele nyumba zakupanga unanijua sana eh basi unaishi kama ndege Huna makao
Na kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichore tu maadam unajua mdudu wako ni wako tuNiko hapa mdudu wangu nakuchora tu..!!
We unajua mi siongopagi kwahiyo sikupambi ni ukweli na ukweli mtupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We falla unanipamba bure wasije nigawana bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utakuwa umenifananisha tu
Anatuvuruga tu chawa wake tunashindwa kujua tuanzie wapi kuchambaKwani ndo huyo? Mbona ulisema kubwa la maadui ni mwanamke?