Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Na kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tubaki tu hivi na ID fake maana wengi wanachokionyesha huku na nje ya huku ni tofauti kabisa
 
Yule Mtutsi wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi amini siku zote sikujua hii ID ni yako.. mbaya wewe mfyuuuuu.
Jana uliniuliza Velissa sikushtuka yani.. Hajambo beb wako wa Kitutsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tumemiss bata la apartment, nipe maelekezo niandae lingine tumualike na National Anthem
 
Nafuu wewe umejas hekima humu jf tu hujapewa hata mwanachama Bora licha uwe predeshee town
Relax my dear,live your life and don't care anymore. Makwazo yapo tena hayaelezeki.Utakuta mtu anakusemea jambo ambalo halipo kabisa. Pole usiyawekee sana moyoni huku ni mtandaoni tu.
 
Na kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu washambaa wanasura zinatisha sana
 
Hakuna inifaayo toka kwako?

Usiwe na makasiriko kama ya mleta uzi maisha mafupi haya😅
Katukanwa yeye acha unafiki, usione jambo la mtu ni upuuzi halafu unajadili kama kawaida ipo siku Hawa Hawa watakusemea vibaya utaona
 
Hapo ulipo fanya hivi,kula,kunywa mvinyo then sikiliza music sanaaaaaa and mwambie honey aje akushike bega kwa raha zako.

Utajikuta upo poaaaaaa
 
Huwezi amini siku zote sikujua hii ID ni yako.. mbaya wewe mfyuuuuu.
Jana uliniuliza Velissa sikushtuka yani.. Hajambo beb wako wa Kitutsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tumemiss bata la apartment, nipe maelekezo niandae lingine tumualike na National Anthem
We falla unanipamba bure wasije nigawana bure🤣🤣🤣🤣
Utakuwa umenifananisha tu
 
Wewe Huna dudu unamiliki Bomba sio la maji mrija umepauka Huna hata hela Huna hadhi unasura kama visheti na umekomaa kama viatu vya Petro nani kakuambia nitaishi milele nyumba zakupanga unanijua sana eh basi unaishi kama ndege Huna makao
Kwani ndo huyo? Mbona ulisema kubwa la maadui ni mwanamke?
 
Na kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa style hii huu uzi utafika mbali sana aiseeh.

Hapo marafiki zako wakisoma hii comment lazima wakae chonjo, kila raia atahisi umempoint yeye😂😂..!
 
We falla unanipamba bure wasije nigawana bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utakuwa umenifananisha tu
We unajua mi siongopagi kwahiyo sikupambi ni ukweli na ukweli mtupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom