Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Vinachekesha ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Namna napenda mambo ya kijinga leo nitashinda kwa shoga angu nicheke tuuu maana anavyoandika na anavyocomment ni burudani
Full comedy huyu bidada
 
Nasisitiza tena. Wake wakubwa hakuna kususia nyumba. Kauli mbiu yetu ni hiyo[emoji1787] Baba akitoka arudi akiwa na viungo vyote kama tunavyowaombea. Mi sikwenda kwao ye ndo alinifata kwetu[emoji1787] kwanza nlivotoka tu kwetu chumba changu akapewa binamu yangu. Ndani sitoki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti mchepuko mbona na dinner ntamkaribisha eboo mda mwengine uchizi unasaidia ndani sio kila siku ngumi na mshua.
Watu weuweeeeeeeeeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Michepukoooooo kazi wanayoooo safariii hii. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kusumbuliwa na wanawake wenziw tupo. Wanamuonelea kila siku yeye tuu. Mara wanaume wamuite malaya, mara mademu wa bwana wamsakame. Tumeamua kuwa chawa wake watiifu yeye amwage list tu zoezi la kuchamba atuachie sisi
Ndiwoooo

Tena sie tumeamua kumfanyia bure kabisa kwa upendo maana hii huduma sehemu nyingine unalipia.
Jinsi gani aone tuna mapenzi ya dhati naye

Tunachosubiri ni list tu sie tufanye yetu
 
Wewe unaeanzisha uzi ndio utaleta shida..kama wanakutukana piga kimya zidisha mapenzi Kwa huyo mume wenu acheni mambo ya kudhalilishana ndugu zangu.

Kama wewe sio mume wako,na anaekutukana sio mume wake..sasa ya nini kugombana wakati nyote nyie sio mwanaume wenu halali?

ichange karata yako vizuri.huku wakikutukana kule Kwa mume wenu unampa viuno vya kwenda..bj za maana kama kibogoyo.

Be smart
Eti BJ kama kibogoyo
 
Back
Top Bottom