Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo unayopenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtu mnajuana?Wewe Huna dudu unamiliki Bomba sio la maji mrija umepauka Huna hata hela Huna hadhi unasura kama visheti na umekomaa kama viatu vya Petro nani kakuambia nitaishi milele nyumba zakupanga unanijua sana eh basi unaishi kama ndege Huna makao
Mdogo wangu nilikuwa nakuja nasoma comment moja moja hapa..!!Afu we mdudu unapita kimya kimya au ulivimbiwa makange?🤣🤣🤣
Yepi dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo unayopenda
Jamaa yupi huyo anaelalamika?Sasa ilikuwaje jamaa analalamika hujibu pm zake? Au umempiga chini? Mjibu basi?
Oooh kumbe umeambiwa tu? Achana na maneno ya kusikia zidisha mapenzi kwa huyo mpenzi wenu mpaka mchepuko mwenzio akili imkae sawa.
Kuchambana kisa wanaume mambo ya zamani sana shoga angu
Manake kuanza na kuanza tuanze kumchamba mwanaume? Si tutapata laana jamani?🤣🤣Anatuvuruga tu chawa wake tunashindwa kujua tuanzie wapi kuchamba
Na kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wetu wote ukianza kupambana na wenzio ni kukaribisha msongo na nyuzi za kuchambana zisizoisha halafu muda huo nyie mnachambana mwanaume yuko busy pm na mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesahau kumalizia wanaume wa JF
AkA cha wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli sisi hatuwezi chamba wanaume tuna maadili.... kama ni wanaume ye apambane nao tu sisi atupe majina ya wadada tutamsaidia, hatutaki laana ndogo ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Manake kuanza na kuanza tuanze kumchamba mwanaume? Si tutapata laana jamani?[emoji1787][emoji1787]
Wanaume wenyewe viumbe adimu, na tukikumbuka wanavyotuweka makengeza[emoji849].....aaah alete majina tuanze na wa kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manake kuanza na kuanza tuanze kumchamba mwanaume? Si tutapata laana jamani?[emoji1787][emoji1787]
Wanaume wenyewe viumbe adimu, na tukikumbuka wanavyotuweka makengeza[emoji849].....aaah alete majina tuanze na wa kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaambiwa cha peke ako kaburi🤣 halafu halwa haina makombo.Umesahau kumalizia wanaume wa JF
AkA cha wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau kumalizia wanaume wa JF
AkA cha wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ni wetu wote ukianza kupambana na wenzio ni kukaribisha msongo na nyuzi za kuchambana zisizoisha halafu muda huo nyie mnachambana mwanaume yuko busy pm na mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
National Anthem ana aminika?Huwezi amini siku zote sikujua hii ID ni yako.. mbaya wewe mfyuuuuu.
Jana uliniuliza Velissa sikushtuka yani.. Hajambo beb wako wa Kitutsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tumemiss bata la apartment, nipe maelekezo niandae lingine tumualike na National Anthem