Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
 
Moja ya Sababu ya kuanzisha mahusiano kwa wanaume ni kupata pa kumwaga oil, hivyo akikubaliwa tu anataka service. Mwanamke hutumia nafasi hiyo kuona amepata pa kuponea mahitaji yake..... hakuna service ya bure hivyo hatachelewa kuomba pesa! Hii tunaita mbwa kala mbwa. Toa nitoe 🤣 au nipe nikupe. ngoma droooo
Hakunaga vya bure
 
Binafsi siwezi kusema niko kwenye mahusiano mpaka nigusanishe viungo vya uzazi. Sasa wewe unasemaje umeingia kwenye mahusiano wakati hujamla demu?
 
Back
Top Bottom