Moja ya Sababu ya kuanzisha mahusiano kwa wanaume ni kupata pa kumwaga oil, hivyo akikubaliwa tu anataka service. Mwanamke hutumia nafasi hiyo kuona amepata pa kuponea mahitaji yake..... hakuna service ya bure hivyo hatachelewa kuomba pesa! Hii tunaita mbwa kala mbwa. Toa nitoe 🤣 au nipe nikupe. ngoma droooo
Hakunaga vya bure