Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 751
Alicheza vzr Kiungo?Sikumfuatilia mtu mmoja mmoja nilikuwa nafuatilia timu nzima.Ila pale katikati kipindi cha pili vijana wa stars walipadhibiti na zile touch kama Barca.Fei atakuja kuwa middle mkubwa na mwenye uwezo kama hatalewa visifa vidogo hv.. sio kwamba amekuwa na uwezo wa kuaminiwa sana kuzidi MKUDE... haya ni matusi.
Sasa atalala akue saa ngapi?Feisal ni mchezaji mzuri ila kufikia uwezo wa Mkude afanye mazoezi usiku na mchana.
Kwa hiyo Makapu ni muhimu kuwapo Stars kuliko Samata, kwa kuwa Genk haijawahi kuchukua ubingwa wa Belgium?Mkude kalifanyia nini hili Taifa??? na Simba kacheza miaka 7 ubingwa Mara mbili..ujue anazidiwa medali na Makapu...
Mkuu muulize Papaa Tshishi baby.. Anamfahamu vyemaHaata sijui uyo mkude timu anayocheza hivi kwani jana hakuwèpò benchi la tąif stars?
Siku hizi medali ndo inadetermine ubora wa mchezaji?Mkude kalifanyia nini hili Taifa??? na Simba kacheza miaka 7 ubingwa Mara mbili..ujue anazidiwa medali na Makapu...
Mkude ana uzuri gani? Sema ni mzuri akiwa huko kwenu simba! Ni wakawaida sana! Feisal ndio kwanza anaanza kudhihirisha uwezo wake, baada ya miaka 2 atakuwa mbele huko! Huyo Mkude kila akifanya majaribio anafeli.... Ndio mjue wakawaida.Fei Toto ni mchezaji mzuri lakini hawezi Kuwa mzuri zaidi ya Mkude.
Tuachie mchezaji wetu tatizo ninaloona kwake ni kucheza kwa nguvu matokeo yake anatengeneza kadi na faulo nyingi. Tumpe muda kwani kuanza kumfananisha na mkude sio haki kwa muda huu faisal pana mengi ya kufanya mpaka awe amekwivya. Nikimkumbuka humud huwa nasikitika sana.Hili suala la Feisal ni bora kuliko Mkude leo limenifanya nimekesha, nikimuangalia kwa umakini huyu Dogo.
Nilichogundua.. Fei Toto anahitaji kukaa na Mkude katika timu moja kwa misimu zaidi ya mitatu ili ajifunze.
Watani zangu Hajar Sibonike kyata Frank Wanjiru Vyamavingi Guasa Amboni Ulimakafu n.k tupeni Feisal tumpike, then akiiva tunawarudishia.
kwani wachezaji wanaenda uwanjani kupigania nini????Ubingwa sio...
Belgium unaongelea dunia ya kwanza...Mechi ya jumapili na Stand chukua pen na karatasi hesabu pass za pembeni na nyuma anazopiga Mkude ni nyingi kuliko za mbele...Kwa hiyo Makapu ni muhimu kuwapo Stars kuliko Samata, kwa kuwa Genk haijawahi kuchukua ubingwa wa Belgium?
Dah.. Huyu Mtalamu Humud alipotea kimzaha mzaha.Tuachie mchezaji wetu tatizo ninaloona kwake ni kucheza kwa nguvu matokeo yake anatengeneza kadi na faulo nyingi. Tumpe muda kwani kuanza kumfananisha na mkude sio haki kwa muda huu faisal pana mengi ya kufanya mpaka awe amekwivya. Nikimkumbuka humud huwa nasikitika sana.
Usilinganishe mwanga na Giza. Si makosa yako unaongozwa na hisiaMkude ana uzuri gani? Sema ni mzuri akiwa huko kwenu simba! Ni wakawaida sana! Feisal ndio kwanza anaanza kudhihirisha uwezo wake, baada ya miaka 2 atakuwa mbele huko! Huyo Mkude kila akifanya majaribio anafeli.... Ndio mjue wakawaida.
Mkude anachomzidi Fei toto ni nguvu tu,ila football skills,Mkude hamfikiiFei Toto ni mchezaji mzuri lakini hawezi Kuwa mzuri zaidi ya Mkude.
Mkude anachomzidi Fei toto ni nguvu tu,ila football skills,Mkude hamfikii