magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Mkuu mbona sote humu jukwaani tunajua una akili timamu?! Umepatwa na nini ndugu yetu?!Sasa atalala akue saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona sote humu jukwaani tunajua una akili timamu?! Umepatwa na nini ndugu yetu?!Sasa atalala akue saa ngapi?
Mpira siyo nguvu ni akiliNdio maana anakuwa bora kuliko Fei
Fei yupo timu pekee inayoweza kuendeleza kipaji chake. Kama anataka misumari aende Simba.Hili suala la Feisal ni bora kuliko Mkude leo limenifanya nimekesha, nikimuangalia kwa umakini huyu Dogo.
Nilichogundua.. Fei Toto anahitaji kukaa na Mkude katika timu moja kwa misimu zaidi ya mitatu ili ajifunze.
Watani zangu Hajar Sibonike kyata Frank Wanjiru Vyamavingi Guasa Amboni Ulimakafu n.k tupeni Feisal tumpike, then akiiva tunawarudishia.
Mwambie Fei atumie akili.Mwache Mkude atumie nguvu.Mpira siyo nguvu ni akili
Kama mlivuokuza cha Mwashiuya na Mkomola.. Au sasa mnavyokuza cha golikipa wetu wa Serengeti Boys.Fei yupo timu pekee inayoweza kuendeleza kipaji chake. Kama anataka misumari aende Simba.
Bahati nzuri hilo kaliona.
HahahahahaMwambie Fei atumie akili.Mwache Mkude atumie nguvu.
Nimebaini kwamba wengi waliojadili swala hili wametumia ushabiki zaidi kuliko hoja madhubuti. Hata chanzo cha uzi wenyewe kimeegemea kwenye ushabiki. Ubora wa kiungo haupimwi kwa uwezo wa kiungo mwengine, bali kwa jinsi anavyotimiza sifa zote za kuwa kiungo. Hakuna yeyote kati ya wachangiaji aliyeonyesha ukamilifu wa yeyote kati ya viungo hao, wala udhaifu wake. Mathalani, kusema udhaifu wa Fei ni utoto, kwa vipi? Anaramba pipi kiwanjani? Au anaposema udhaifu wake ni Uzanzibari, kivipi? Cannavaro ni Mzanzibari, ni udhaifu gani alikuwa nao kutokana na Uzanzibari wake ambao pia tunauona kwa Fei? Kuonekana hayuko serious ndiyo mtindo wa uchezaji wake unaomtofautisha na wengine. Aangaliwe Roberto Carlos alivyokuwa akicheza nafasi ya beki kisha afananishwe na Marcelo. Huyu Marcelo ataonekana hayuko seriois, lakini ndio mtindo wake, huwezi kuuita kuwa ndio udhaifu. Aidha, wanaodai kwamba Fei ni laini kwa hivyo hataweza mechi ngumu waangalie mbali zaidi. Mathalan, mashindano ya Chalenji ya mwaka jana haya kuwa magumu? Mbona alibaki kuwa Robo ya kiungo cha timu yake, mpaka timu za Ligi Kuu Bara zikaanza kummezea mate? Matumizi ya akili kuliko nguvu ni hitaji muhimu kwa timu yoyote, kama ilivyo kwa matumizi ya kasi, uwezo wa kumiliki mipira, uchezaji mipira ya juu, n.k. Si lazima sifa hizo zote zimilikiwe na mchezaji mmoja, muhimu ni kuwa na muunganiko wa sifa hizo ndani ya timu nzima. Kadhalika kusema umri mkubwa ndio udhaifu wa Mkude ni ushabiki usioleta tija kwenye hoja yenyewe. Anayesema hivyo afafanue kwanza wapi uzoefu na umri vinakataana. Maana umri wa Mkude sidhani kama unazidi wa Christiano Ronaldo au Messi, na hadi sasa hawajakataliwa na Timu zao za Taifa kwa sababu ya umri. Jambo jengine ambalo mashabiki waliochangia mada hii wanapaswa kujua ni kwamba uoni wao kama washabiki si lazima uwe ndio uhalisia wa kitaalamu, ingawa hata hao wataalamu nao wanatofautiana mawazo kulingana na mfumo na falsafa wanazopendelea kutumia.Mkuu Fei toto ni mzuri ndiyo ila huwezi mbeza mkude maana anauwezo pia anaeperience kumzidi toto mimi nadhani ukitoa ushabiki basi Fri toto na mkude wanaweza tengeneza combination kali stars
Mchukueni Mwashiuya tuone tofauti.Kama mlivuokuza cha Mwashiuya na Mkomola.. Au sasa mnavyokuza cha golikipa wetu wa Serengeti Boys.Hahahahaha
AiseeeBelgium unaongelea dunia ya kwanza...Mechi ya jumapili na Stand chukua pen na karatasi hesabu pass za pembeni na nyuma anazopiga Mkude ni nyingi kuliko za mbele...
Ushaambiwa Jumapili mtakapocheza chukua peni na karatasi halafu nakili pass anazopiga Mkude kwenda mbele na nyuma zipi ni nyingi.Usilinganishe mwanga na Giza. Si makosa yako unaongozwa na hisia
Na pass nyingi anazopiga Mkude ni za kurudi nyuma Golini kwake sio kwenda mbele.Fei Toto akiongeza mazoezi ya jimu kidogo aongeze mwili na stamina,Mkude anaweza kuwa mfua jezi wake
Ushaambiwa Jumapili mtakapocheza chukua peni na karatasi halafu nakili pass anazopiga Mkude kwenda mbele na nyuma zipi ni nyingi.
Yeah ana square pass nyingi sanaNa pass nyingi anazopiga Mkude ni za kurudi nyuma Golini kwake sio kwenda mbele.
Wala sijamlinganisha sababu Mkude hamfikii Fei labda kwa mabavu.Hiyo kazi fanya wewe unayetaka kumlinganisha na Mkakasi
Square pass na back passYeah ana square pass nyingi sana