Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Mkuu hii umeandaa mwenyewe?

Kama ndiyo. Hongera!
 
Mkuu hii umeandaa mwenyewe?

Kama ndiyo. Hongera!
Ndio michongo yangu hiyo ukiwa unataka kujifunza kuhusu magari tafuta nina group fb inaitwa TANZANIA USED CAR MARKET(TOP GEAR) igia hapo au CHUO KIKUU CHA MAGARI utapata post zangu za magari aina mbali mbali huwa nafafanua kila siku
 
Ndio michongo yangu hiyo ukiwa unataka kujifunza kuhusu magari tafuta nina group fb inaitwa TANZANIA USED CAR MARKET(TOP GEAR) igia hapo au CHUO KIKUU CHA MAGARI utapata post zangu za magari aina mbali mbali huwa nafafanua kila siku
Pamoja
 
Ndio michongo yangu hiyo ukiwa unataka kujifunza kuhusu magari tafuta nina group fb inaitwa TANZANIA USED CAR MARKET(TOP GEAR) igia hapo au CHUO KIKUU CHA MAGARI utapata post zangu za magari aina mbali mbali huwa nafafanua kila siku
Kwenye insta je, tunakupataje?
 
Umesema iko chibi Sana kwahiyo kwenye rough road haifai kabisa?
 
Audi A4 vs BMW 320i ipi chombo kali kwa speed, comfortability, fuel consumption etc
 
Kuna mshakji ameniambia ye ameagiza bmw 320i m-spot huko Singapore nikapata mashaka khs quality za gari za huko Singapore chief
usidanganyike na gari za sinapore ....zina review mbovu sana usome feedback za waliokwisha nunua kwenye reputable websites
 
Achana nayo. Ukilinunua imekula kwako. Ni ndoa ya kikristo.
 
na KIMOMWE MOTORS (T) LTD

Utangulizi
Hapa tunazungumzia sedan iliyotoka miaka ya 2010- 2013 baada ya ile model ambayo pia ilikubalika na vijana wengi iliyodumu kuanzia 2002 mpaka 2009 huku ikichukuliwa kama mbadala wa Subaru Legacy B4.

Injini
Hizi gari zina injini 2 tofauti huku moja ikiwa na Cc 1800 yenye kukadiriwa kwenda mpaka km 14 kwa lita wakati ya Cc 2000 ikikadiriwa kwenda mpaka km 12 kwa lita.

Vifaa
Kwa kua hii bado ni gari mpya hapa Tanzania, vifaa vyake vinapatikana kwa kutafuta kidogo huku vikiwa na gharama juu japo sifa yake ni kwamba ukifunga unasahau.

Ziada katika gari hii.
Camera za mbele na nyuma za kurekodi matukio hata gari inapokua imepaki huku yakihifadhiwa katika Memory Card.

Airbag 6 zinazosaidia sana katika usalama wa abiria nyakati za ajali wakati gari nyingi tulizozoea zina airbag 2.

Parking sensor 4 nyuma pekee zinazotoa nafasi nzuri kwa dereva kutogonga wakati anarudi nyuma.

Fm Radio inayosoma mpaka chanel 107 wakati tulizozoea zinaishia 90.

Kupima oil na hydraulic ya gia box kwa kusoma katika screen yako kwenye dashboard.

Gari inakujulisha km zilizobaki kabla ya service inayofuata kila unapotaka kuiwasha.

Hizi zote zinakuja na viti vya ngozi.

Uzito wa gari hii ni tani 1.5 inayoiwezesha kwenda mwendo mkali bila kutetereka.

Speed 280 huku ikiwa na gia 8.

Nyingi ya gari hii zina booster kwenye boot inayowezesha mziki kutoka mkubwa na mzuri.

Matundu ya AC ya nyuma kupeleka baridi kwa abiria wa nyuma.

Gharama
Kwa wastani kuagiza gari hii kutagharim kati ya 19m- 23m kutegemea na show ya gari, na muuzaji husika.

Maoni na Ushauri
Gari hii ni nzuri sana kwa mtu mwenye kipato cha juu kwa kua ikipata changamoto ya ufundi utaweza kuitengeneza bila wasi...sababu kuu ni kwamba vifaa vyake bado ni vichache sana hivyo gharama ni juu.

kwa wingi gari hizi zinapatikana soko la Singapore ila tunashauri utafute inayotokea Japan kwa kua singapore sio wazuri sana kwenye service za magari na pia wana matumizi mabovu hivyo kuweza kukufanya upate gari inayohitaji marekebisho makubwa.

 
4th generation Audi A4 B8 ilianza kuuzwa 2009 tajiri.

Sorry mkuu nina swali: Mkisemaga model mpya mnamaanishaga nini? Maana kuna model nyingine inafuatia ya 2016 hapo (B9).

Edited: Hafu nadhani A4 anapambana na 3 series na C class sio na Legacy. Hii model inapambana na 3 series E90 (2006-2013) au Benz C Class 3rd generation W204 (2007-2015).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…