Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

Tanga bahari jina tu. Hawana beach.

Izo zipo jirani na Firodhani, mitaa ya Bank ya NMB na ofisi ofisi zingine. Mchana pakistaarab, usiki kina happen.
Ndio mbele ya dreamerz kuna road na on ur left bahari inaonekana si ndio ?
 
Ukija Dar sema tukushikirikishe Mkuu.

Ngoja niangalie maeneo ya Tanga ili nikija nisipate tabu kutafuta [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…