Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

Sawa mkuu bas ngoja nitafute mtu nimuuzie hata laki maana kimekaa tu hapa hom bila kazi yoyote.
Wizi huo sasa, ndo kwanza miezi miwili toka mgraduate mshaanza udokozi 😹😹
 
Wizi huo sasa, ndo kwanza miezi miwili toka mgraduate mshaanza udokozi 😹😹
Hakuna wizi wala mwizi Madam, nimeiokoa tu hiyo bidhaa isiendelee kupigwa na vumbi store.
 
Kaanza na mita kwanza 😹
Huyu ni mwizi, kweli JF ina kila aina ya watu mpk wezi wapo.!!!
Hiyo sio mita Madam

Pia Naweza kusema Jf inawatu wakurupukaji wengi design yako...
 
Hiyo sio mita Madam

Pia Naweza kusema Jf inawatu wakurupukaji wengi design yako...
Acha wizi, km ni mali yako ulikuja kuuliza vipi humu? Kwahiyo ulinunua kitu usichokijua? Hiyo ni main switch ilikuwa typing error

Wewe ni MWIZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…