Wadau, tuweke vita kando kidogo tusherehekee habari njema kwamba Biashara kati ya Kenya na Tanzania inakaribia kufika 1 billion dollars


Nimekugusa penyewe mpaka unaniquote mara nyingi, ila ndio ujumbe wenyewe huo, wakulima wenu wangeendelea kuteseka sana kama mwenda zake angeendelea na huo ujuha wa chuki.
Sasa hivi tutawafikia tu na kununua mazao yao, hao walioko mbali wavute subira, tunaendelea kuboresha.

 
Kwa hivyo hamutaki pesa zetu? Kwa hivyo wakulima wenu waendelee tu kuwa masikini kwa sababu ya siasa?
Kwahiyo mnavyopeleka. Maua na mboga mboga uingereza nyie ni mtajiri sana.mlivyonunua mahindi ya mexico waliwafata au mliwafata.sisi hatulazimishi bhana ,kuweni na heshima
 
Kuna huyu mbunge hapa aliwapiga na facts tu.
 
250 Trucks daily,Most of them from Tanzania into Kenya.Ebwana siyo poa watu wanafanya Biashara,Hongera kwao.
 
Tanzania is benefiting too much compared to Kenya , bcoz Tz is exporting more goods to Kenya than it's import
 
Tanzania is benefiting too much compared to Kenya , bcoz Tz is exporting more goods to Kenya than it's import
Interns of "cash" yes Tanzania is benefiting than Kenya, but Kenyans are benefiting for serving lives of their people who depend on Tanzanian to survive.

Kenya wanafurahia na kulaximisha biashara na Tanzania kwasababu kwao sio biashara ila ni kupambana na kifo, bila chakula cha Tanzania wakenya wengi Sana watakufa.
 
naskia magufuli pia alikufa njaa kwani hakukula mahindi yakutosha...?
 
Imeshafika kitambo na uzuri imeegemea upande wetu
 
Imeshafika kitambo na uzuri imeegemea upande wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…